Gari ipi ni ni itanifaa kwa maoni yako?

Gari ipi ni ni itanifaa kwa maoni yako?

alongakeke

Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
98
Reaction score
30
Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser v8 ,range rover vogue,range rover sport na range rover velar,naomba mawazo yenu yatakuwa na influence kubwa katika uamuzi wangu wa mwisho maana mimi nimeshindwa kabisa kuamua kila nikiamua naona nyingine ni nzuri zaidi,mke wangu na wanangu wawili wanapenda v8,ni nzuri lakini naona imezoeleka sana.karibuni kwa mchango.
 
Attachments

  • Screenshot_20190622-201638_Instagram.jpg
    Screenshot_20190622-201638_Instagram.jpg
    495.5 KB · Views: 78
  • Screenshot_20190622-195415_Instagram.jpg
    Screenshot_20190622-195415_Instagram.jpg
    550.3 KB · Views: 70
  • Screenshot_20190622-195128_Instagram.jpg
    Screenshot_20190622-195128_Instagram.jpg
    433.3 KB · Views: 68
  • Screenshot_20190616-220630_Instagram.jpg
    Screenshot_20190616-220630_Instagram.jpg
    465.9 KB · Views: 73
  • Screenshot_20190622-175555_Instagram.jpg
    Screenshot_20190622-175555_Instagram.jpg
    521.6 KB · Views: 57
  • Screenshot_20190619-143003_Instagram.jpg
    Screenshot_20190619-143003_Instagram.jpg
    625.2 KB · Views: 58
  • Screenshot_20190615-203428_Instagram.jpg
    Screenshot_20190615-203428_Instagram.jpg
    520.1 KB · Views: 61
Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser v8 ,range rover vogue,range rover sport na range rover velar,naomba mawazo yenu yatakuwa na influence kubwa katika uamuzi wangu wa mwisho maana mimi nimeshindwa kabisa kuamua kila nikiamua naona nyingine ni nzuri zaidi,mke wangu na wanangu wawili wanapenda v8,ni nzuri lakini naona imezoeleka sana.karibuni kwa mchango.
Hamna gari hapo, chukua kirikuu station wagon itakufaa bro!
 
Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser v8 ,range rover vogue,range rover sport na range rover velar,naomba mawazo yenu yatakuwa na influence kubwa katika uamuzi wangu wa mwisho maana mimi nimeshindwa kabisa kuamua kila nikiamua naona nyingine ni nzuri zaidi,mke wangu na wanangu wawili wanapenda v8,ni nzuri lakini naona imezoeleka sana.karibuni kwa mchango.
Habari mkuu.. Kwa uelewa wangu mdogo kama una capacity ya kumiliki grade ya magari uliyoyataja sitarajii usiwe na knowledge au decision au choice hadi utegemee mawazo ya wanachama.
Samahani lkn. Safari njema ya kumiliki hiyo michuma. Hope in five yrs nitafikia hiyo level🙏🙏🙏
 
Nimeuliza kwa kuwa naamini wapo watu wengi tu ambao tayari wanamiliki magari haya ,hivyo basi kila mmoja anajua gari ipi ina features zipi alizopenda yeye ambazo nyingine haina.kutoka hapa naweza kufanya ulinganishi,ahsante ndugu kwa maoni yako.
 
Kwanza mkuu hongera sana. Na mimi nitajitaidi nipambane nifikie level zako, naamini nitafika.

Kiukweli sijui lolote kuhusu magari, nimependa tu kukupa hongera
 
Ahsante, utafika tu ukiwa na nia na uthubutu,nikikumbuka nilikotokea huwa machozi yananitoka kama mtoto.
 
Nimeuliza kwa kuwa naamini wapo watu wengi tu ambao tayari wanamiliki magari haya ,hivyo basi kila mmoja anajua gari ipi ina features zipi alizopenda yeye ambazo nyingine haina.kutoka hapa naweza kufanya ulinganishi,ahsante ndugu kwa maoni yako.
Nunua hata punda mzee ina features za kukupiga mateke mbeleni
 
Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser v8 ,range rover vogue,range rover sport na range rover velar,naomba mawazo yenu yatakuwa na influence kubwa katika uamuzi wangu wa mwisho maana mimi nimeshindwa kabisa kuamua kila nikiamua naona nyingine ni nzuri zaidi,mke wangu na wanangu wawili wanapenda v8,ni nzuri lakini naona imezoeleka sana.karibuni kwa mchango.
Trekta
 
Back
Top Bottom