alongakeke
Member
- Feb 3, 2017
- 98
- 30
Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser v8 ,range rover vogue,range rover sport na range rover velar,naomba mawazo yenu yatakuwa na influence kubwa katika uamuzi wangu wa mwisho maana mimi nimeshindwa kabisa kuamua kila nikiamua naona nyingine ni nzuri zaidi,mke wangu na wanangu wawili wanapenda v8,ni nzuri lakini naona imezoeleka sana.karibuni kwa mchango.
Attachments
-
Screenshot_20190622-201638_Instagram.jpg495.5 KB · Views: 78 -
Screenshot_20190622-195415_Instagram.jpg550.3 KB · Views: 70 -
Screenshot_20190622-195128_Instagram.jpg433.3 KB · Views: 68 -
Screenshot_20190616-220630_Instagram.jpg465.9 KB · Views: 73 -
Screenshot_20190622-175555_Instagram.jpg521.6 KB · Views: 57 -
Screenshot_20190619-143003_Instagram.jpg625.2 KB · Views: 58 -
Screenshot_20190615-203428_Instagram.jpg520.1 KB · Views: 61