Gari ipi nzuri kati ya Toyota Wish au Alphard?

Gari ipi nzuri kati ya Toyota Wish au Alphard?

kwa mazingira uliosema ukiondoa hiyo noah old model labda utafute suv au double cabin zilizobaki nyingi zitakutesa kama alphard labda uweke 17" rim na mpira mnene

Ngoja nikomae na hii noah yangu tu.

Shukrani.
 
Kuna uzi humu ulikua unaongelea probox nadhani kwa maoni ya wengi na kwa mazingira unayoyaelezea probox ni chaguo sahihi
Umemaliza kila kitu.
Probox/Succeed ndio kila kitu kwa mahitaji ya huyo jamaa. Hicho chuma ni punda mbishi.

Hizo wish na Alphard ni kupoteza muda na pesa zako ikiwa uko mazingira ya kizalendo (mikoani kwenye rough road).
 
Tafuta gari la juu Mkuu, ila Kama matumizi ni rough road kidogo haina shida ila utaendesha kwa speed ndogo na kwa taadhari kubwa tofauti na ulivyozoea kuendesha Noah.Noah old model ni nzur Zina ground clearance kubwa tofauti na wish na Alphard.
Kabisa Mkuu, Nina Alphard mbele ina Show Nzuri Balaa, Ila Nakosa Amani Nikitembelea Sehemu nisiyoijua
 
Mimi nina Wish mwaka wa nne sasa, na kidogo iko busy lakini sio katika rough road...ukiachan na changamoto ya kuwa chini, sijaona changamoto nyingine....huwa nasafiri sana kati ya Moro, Dar, Dodoma, Mtwara, Lindi...ina nguvu, ina kimbia na imara. Sema tu ndo hivyo, iko chini.
 
Halafu akaitumie huko rough roads sio?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]itakongoroka mwaka mmoja tu
Study mazingira yako kwanza ndo yata determine aina ya gar unayotakiwa kutumia besides kumilik gar na kulitumia ni vitu viwili tofauti
 
Alphard ni habari nyingine kabisa....acha kuifananisha na wish tna km ukipata hybrid

sent from HUAWEI
 
Nilishuhudia pro box geita odomitor inasoma km.400,000. point dreva akasema anamuda mrefu sana ameinunua Tena kwa mtu.pro box ni kagumu Sana sema siti 5 tofauti na wish na Alphard.
Acha kuriri ,hajakwambia natafuta gari ngumu ,nenda kwenye hoja sio kila anayenunua gari analenga ugumu ,wengine tunatafuta coftability kwanza na muonekano

sent from HUAWEI
 
Japo sijui ni Noah gan, lkn km ni ile Sr40 model ya zaman, basi achana na wish na Alphard. Iyo Noah ni bora kulingana na kazi zako. Alphard ni luxury van. Haitaki shida shida, infact sio gari ya kupiga kazi ni gari ya kula bata na familia.. soft sana. Which is very okay, lkn kwa matumizi yako, kwa 7seater chukua Kluger ya 7seater km ukiweza mafuta yake ya 2.4cc, vinginevyo usibadil gari endelea na noah yako.
 
Back
Top Bottom