Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Yes inanunuliwa sana, nilitamani nimpate mtu anaeijua maana huku mtaani vitisho tu.
Nissan sifa yake kuu ni hakuna Counterfeit parts. Hivyo ni mwendo wa 100K+ for regular maintanance costs. Vipuri vyake ni Original tu. Hamna kuunga unga hivyo ni aghali.

Kwa mafuta hako kagari kana engine ya 1500cc tu so nadhani hakali mafuta zaidi ya 150k kwa mwezi! Ukiwa na plan ya full tank lakini, kujaza kwa kibaba itaweza zidi.

Kama una kipato imara nunua, gari zinatushindaga tunaounga unga hela. Kama una uhakika maybe 2M au zaidi kila mwezi hamna gari yeyote ya kijapani itakushinda.
 
Nissan xtrail zinakuja na engine MR 20 ambazo ni cc 2000..

Hivyo gharama yake ya mafuta haijaachana na wenzake wakina Rav 4...

Kuhusu vipuri ni kweli vingi ni genuine lakini spea feki kama za toyota zimeshaanza kuenea..

Na mbaya zaidi wauzaji wa spea wanawaibia wateja, wanakamatisha wateja spea feki kwa bei ya genuine...wanawadanganya wateja kuwa spea zote zote za Nissan ni genuine...

Inahitaji umakini sana kama unanunua spea kwa maduka ya Wachanga..
 
Kati ya:-

Brevis
Verossa
Gx 110
Xtrail

Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
Brevis ni unywaji wa mafuta tu nimekaa nalo miaka 3 mpaka naiuza haikuwahi kunisumbua tatizo ipo chini sana kwenye rafu road bampa zina bomoka
 
Kama huna familia chukua Brevis au Xtrail ikuchangamshe akili kidogo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]uzuri wa dunia ya sasa data zipo kiganjani...
kITU PEKEE unachoweza kudanganya raia na wasikubishie

ni mishe unazofanya chumbani kwako na mke na watoto wako

ukisema jana nilikula wali mchicha Hamna waku google,ila sasa

danganya raia sema Brevis mpya linauzwa m.8 uone google itavyofukuliwa...
 
kITU PEKEE unachoweza kudanganya raia na wasikubishie

ni mishe unazofanya chumbani kwako na mke na watoto wako

ukisema jana nilikula wali mchicha Hamna waku google,ila sasa

danganya raia sema Brevis mpya linauzwa m.8 uone google itavyofukuliwa...
Huyo mjumbe alita kutushika akili zetu..[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…