wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hiyo gx 110 ni toleo ganiKati ya:-
Brevis
Verossa
Gx 110
Xtrail
Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo gx 110 ni toleo ganiKati ya:-
Brevis
Verossa
Gx 110
Xtrail
Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
Hahah naona amechokoza moto mzee baba.Tuwekee technical issues za hii gari, please..zitasaidi wtu wanaotaka kuzinunua..
Pia kama umewahi kumiliki ukituwekea uzoefu itapendeza zaidi..
Kumbe sio kichomi sasa! Kichomi ni mfuko wakoUkichomi wake haimaanishi ni ubovu bali lipo kwenye service, hiyo gari kama pesa zako ni za mawazo usije ukajaribu kununua. Spea zake ni bei ghali kuliko Toyota, ingawa ukizinunua zinadumu hata miaka... Pia kuna vitu wakati wa kuviweka basi inahitaji umakini, kama vile hydraulic ukiweka ambayo siyo special kwa nissan jigesabie umeumia...
Umegusia kwenye vipuri na matengenezo, ndiyo maana nikagusia hilo ndiyo shida kuliko hayo yote. Maana spare zake upate original tu, vinginevyo utajuta. Uwe makini sana kwenye ununuzi wa spare zake.Kumbe sio kichomi sasa! Kichomi ni mfuko wako
Shukrani mkuu, umeelewekaUkichomi wake haimaanishi ni ubovu bali lipo kwenye service, hiyo gari kama pesa zako ni za mawazo usije ukajaribu kununua. Spea zake ni bei ghali kuliko Toyota, ingawa ukizinunua zinadumu hata miaka... Pia kuna vitu wakati wa kuviweka basi inahitaji umakini, kama vile hydraulic ukiweka ambayo siyo special kwa nissan jigesabie umeumia...
Hahahaa....lakini nashukuru amejibu vyema hapo juu..Hahah naona amechokoza moto mzee baba.
Gx naielewagaa sana hii ndingaaKamata gx mia tu hapo japo jipange siku ukitaka kuuza utapata bei ndogo
Kwa matumizi ya daily mjini na foleni labda ndo wengi wanalalamika mafuta ila kama ulivosema ni gari moja unaenjoy kuendesha ...kwa safariiii unaenjoy zaidiBrevis mnaiponda Basi tu,
Wengine hata kuyamiliki hawajawahi lakini ndo mabingwa wakusema vibaya.
Mbali na matumizi makubwa ya mafuta , brevis ni gari tamu Sana.
Hahah bora alijiwahi aisee,maana Knock-out ilikua imuhusu.Hahahaa....lakini nashukuru amejibu vyema hapo juu..
Duh! Brevis mchawi mafuta na vipuli sio?Kwa matumizi ya daily mjini na foleni labda ndo wengi wanalalamika mafuta ila kama ulivosema ni gari moja unaenjoy kuendesha ...kwa safariiii unaenjoy zaidi
Duh! Brevis mchawi mafuta na vipuli sio?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah bora alijiwahi aisee,maana Knock-out ilikua imuhusu.
Engine ya 1G hua ni 6 cylinder hio engine ipo kwenye GX100 na GX110Gx100 hata bure hapana! Labda 110 japo sijajua Ina CC ngapi na kama ni 6 cylinder au 4
Possibility ni hio brevis imetoka ZNZ mkuu wamelipa differential taxHahah kwamba ukiweka hio picha ya brevis ndio ita justify kwamba inanunuliwa mil 8?
Twende kimahesabu:
Brevis ya 2001 TRA watakuchaji Tsh. 4,857,574..
Pesa ya mtu inapoishia na akili huishia hapo hapo!,mwache aendelee kuamini anachoamini ila siku Akipata hela halisia ndo atajua bei ya brevis ni ipi na hapo atakiwa mwalimu mzur kwa wengineHahah yangekua yanauzwa bei hio watu wasingekua wananunua mikononi kwa watu mzee baba.
Muonekano wake ni tofauti mkuu!Engine ya 1G hua ni 6 cylinder hio engine ipo kwenye GX100 na GX110
Hapana...Possibility ni hio brevis imetoka ZNZ mkuu wamelipa differential tax
Walimuona hajui kitu ndio maana wakamdanganya na yeye akakubali blindly.Sasa mkuu kama unasema haujui chochote then usibishe,ila jua brevis ziko aina 2 tu za cc2500 na cc3000 na kama ulinunua mkononi kwa mtu then jua alikudanganya tu ni Cc 2000 wkt ni cc2500.
Na case za brevis nilizosikia nyingi ni kuna wenye magari ya brevis ya cc 3000 yaliyoandikwa ai300 pale nyuma hua wanatoa hio lebel wanaweka ai250 kumdanganya mnunuzi kwamba hio gari ni ya cc2500 ila hii case yako ya cc2000 kwangu ni mpya mkuu.
[emoji848][emoji848][emoji848] Umakini unahitajika kwenye manunuzi!Walimuona hajui kitu ndio maana wakamdanganya na yeye akakubali blindly.