Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Ukichomi wake haimaanishi ni ubovu bali lipo kwenye service, hiyo gari kama pesa zako ni za mawazo usije ukajaribu kununua. Spea zake ni bei ghali kuliko Toyota, ingawa ukizinunua zinadumu hata miaka... Pia kuna vitu wakati wa kuviweka basi inahitaji umakini, kama vile hydraulic ukiweka ambayo siyo special kwa nissan jigesabie umeumia...
Kumbe sio kichomi sasa! Kichomi ni mfuko wako
 
Ukichomi wake haimaanishi ni ubovu bali lipo kwenye service, hiyo gari kama pesa zako ni za mawazo usije ukajaribu kununua. Spea zake ni bei ghali kuliko Toyota, ingawa ukizinunua zinadumu hata miaka... Pia kuna vitu wakati wa kuviweka basi inahitaji umakini, kama vile hydraulic ukiweka ambayo siyo special kwa nissan jigesabie umeumia...
Shukrani mkuu, umeeleweka
 
Brevis mnaiponda Basi tu,
Wengine hata kuyamiliki hawajawahi lakini ndo mabingwa wakusema vibaya.
Mbali na matumizi makubwa ya mafuta , brevis ni gari tamu Sana.
Kwa matumizi ya daily mjini na foleni labda ndo wengi wanalalamika mafuta ila kama ulivosema ni gari moja unaenjoy kuendesha ...kwa safariiii unaenjoy zaidi
 
Kwa matumizi ya daily mjini na foleni labda ndo wengi wanalalamika mafuta ila kama ulivosema ni gari moja unaenjoy kuendesha ...kwa safariiii unaenjoy zaidi
Duh! Brevis mchawi mafuta na vipuli sio?
 
Sasa mkuu kama unasema haujui chochote then usibishe,ila jua brevis ziko aina 2 tu za cc2500 na cc3000 na kama ulinunua mkononi kwa mtu then jua alikudanganya tu ni Cc 2000 wkt ni cc2500.

Na case za brevis nilizosikia nyingi ni kuna wenye magari ya brevis ya cc 3000 yaliyoandikwa ai300 pale nyuma hua wanatoa hio lebel wanaweka ai250 kumdanganya mnunuzi kwamba hio gari ni ya cc2500 ila hii case yako ya cc2000 kwangu ni mpya mkuu.
Walimuona hajui kitu ndio maana wakamdanganya na yeye akakubali blindly.
 
Back
Top Bottom