Kama uko sensitive na resell value likimbie tu mzee baba lkn otherwise ni machine ni nzuri sana.Hili dude nafikiria sana kuichukua,sema shida ndio hapo kwenye resell,ila kiupande mwingine gari tamu sana
Aiseee!Kama uko sensitive na resell value likimbie tu mzee baba lkn otherwise ni machine ni nzuri sana.
Brevis ni moja ya gari tamu sana ila wengi wanaonunua hawana uwezo wa kulimiki na kusingizia ubovu au ulaji wa mafuta hali inayopelekea kuuzwa bei ya chini.Nashangaa sana hilo! Nimeona Brevis nyingi sana zikiuzwa kwa bei ya 4.5 - 5.0 milion kitu ambacho sio cha kawaida!
Hata Xtrail nazo ni hivyo hivyo[emoji2297]
Watanzania sasa wananichosha...
Wakishakuwa na kipato duni, hawakubaliani na hali...badala yake wanayapa magari fulani sifa mbaya..
Kuna watu wamekaa na Brevis miaka kadhaa bila shida yoyote, na wengine hizo x trail wamekaa nazo bila shida...
Haya magari yanataka uwe na wallet yenye mbavu nene ili uyatendee hakiya mafuta na spea..
Wewe unata gari inayorun smoothly halafu unaogopa mafuta..?
Kama muoga wa mafuta kaa mbali na Brevis, Crown,Fuga na mengine jamii hii...waachie wanaume wenye pesa zao..
Brevis shipa, brevis shipa....shipa kivipi..?
Hebu kaeni kwenye IST zenu huko zinadunda dunda kama kitenesi..
Ya kwangu ina cc 2000Brevis haziuzwi bei rahisi sababu ya ubovu,wanaziuza bei rahisi sababu wabongo especially madalali wameshaipa jina baya(Jini Mafuta) sababu ya kua na Cc 2500&Cc 3000.
Lkn ni gari makini sana na hainaga ubovu huo mnaoaminishwa.
Brevis ya Cc2000 haijawahi kutengenezwa tangu dunia iundwe mkuu.,unless mli-swap.Ya kwangu ina cc 2000
Cc2000?hakuna brevis ya hivyo mkuu.Gari nzuri yenye injini kubwa pia gari matunzo uwe unaifanyia service kwa wakati au co bhana mm nina brevis cc 2000 iko poa tuu aisumbui wala nn tena nakula nayo luti sana barabarani Makambako kyela,Makambako Mbeya,Makambako Sumbawanga, Makambako Dar Makambako mwanza mara ya mwisho nilitoka nayo Madibira nikaenda nayo Kyela nakarudi nayo Makambako iko poa tuu kusu mafuta Kawaida kama umenunua gari lzm mafuta utanunua tu raha ya gar injini kuna kipindi nilitaka ninunue nisani ya umeme ila nikashauriwa miyeyusho nikaacha gari injini wabongo sisi tatizo wabahiri...
Brevis ya Cc2000 haijawahi kutengenezwa tangu dunia iundwe mkuu.,unless mli-swap.
Cc2000?hakuna brevis ya hivyo mkuu.
Nissan ya umeme hio ndio ikoje mkuu?
Cc2000?hakuna brevis ya hivyo mkuu.
Nissan ya umeme hio ndio ikoje mkuu?
Itakua Nissan Leaf.Ya umeme zipo kama ist fran ivi zina chajishwa...
Itakua Nissan Leaf.
Brevis mnaiponda Basi tu,
Wengine hata kuyamiliki hawajawahi lakini ndo mabingwa wakusema vibaya.
Mbali na matumizi makubwa ya mafuta , brevis ni gari tamu Sana.
Sasa mkuu kama unasema haujui chochote then usibishe,ila jua brevis ziko aina 2 tu za cc2500 na cc3000 na kama ulinunua mkononi kwa mtu then jua alikudanganya tu ni Cc 2000 wkt ni cc2500.Sasa ukinuliza gari yangu injini gani utakuwa unanionea mana cjui lolote...
Hua kako poa sana na kamechukua awards nyingi sana huko ma mbele mzee baba.Ndio izo izo