Watanzania sasa wananichosha...
Wakishakuwa na kipato duni, hawakubaliani na hali...badala yake wanayapa magari fulani sifa mbaya..
Kuna watu wamekaa na Brevis miaka kadhaa bila shida yoyote, na wengine hizo x trail wamekaa nazo bila shida...
Haya magari yanataka uwe na wallet yenye mbavu nene ili uyatendee hakiya mafuta na spea..
Wewe unata gari inayorun smoothly halafu unaogopa mafuta..?
Kama muoga wa mafuta kaa mbali na Brevis, Crown,Fuga na mengine jamii hii...waachie wanaume wenye pesa zao..
Brevis shipa, brevis shipa....shipa kivipi..?
Hebu kaeni kwenye IST zenu huko zinadunda dunda kama kitenesi..