Mzee baba wala usiwe na wasiwasi kile chuma ni uhakika utakula upepo mpk ujiulize hivi hawa wanaoiponda hua wanaijua au?Afadhali wewe umesema kuispoti hiyo gari, maana ndio nimeilipia juzi juzi tu sasa nikisikia vile watu wanaipondea huwa nawaza labda nimejichanganya kununua hilo gari.
Uko sahihi %100 mkuu inaweza ikawa 2500 ila nimepigwa danganya toto lkn haisumbui...iko poa tuu....Sasa mkuu kama unasema haujui chochote then usibishe,ila jua brevis ziko aina 2 tu za cc2500 na cc3000 na kama ulinunua mkononi kwa mtu then jua alikudanganya tu ni Cc 2000 wkt ni cc2500.
Na case za brevis nilizosikia nyingi ni kuna wenye magari ya brevis ya cc 3000 yaliyoandikwa ai300 pale nyuma hua wanatoa hio lebel wanaweka ai250 kumdanganya mnunuzi kwamba hio gari ni ya cc2500 ila hii case yako ya cc2000 kwangu ni mpya mkuu.
Ile kitu ni tamu sana na hainaga matatizo,enjoy mkuu.Uko sahihi %100 mkuu inaweza ikawa 2500 ila nimepigwa danganya toto lkn haisumbui...iko poa tuu....
Hakuna gari pasua kichwa ni USHAMBA wa mafundi tu...Kati ya:-
Brevis
Verossa
Gx 110
Xtrail
Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
Nikutoe gizaniGx100 hata bure hapana! Labda 110 japo sijajua Ina CC ngapi na kama ni 6 cylinder au 4
Ni sawa ila mie bora nitumie 110Nikutoe gizani
GX100 na GX110 ni gari zenye injini moja mabody tu ndo tofauti umenisoma...
Ukiona inaitwa GX Iwe 100 au 110 hizo injini ni 1g fe..
Alafu wanavyoiponda kama wameshawahi kumilikiBrevis haziuzwi bei rahisi sababu ya ubovu,wanaziuza bei rahisi sababu wabongo especially madalali wameshaipa jina baya(Jini Mafuta) sababu ya kua na Cc 2500&Cc 3000.
Lkn ni gari makini sana na hainaga ubovu huo mnaoaminishwa.
Hahah nadhani hua wanasikia story kutoka kwa masela mkuu.Alafu wanavyoiponda kama wameshawahi kumiliki
Atakuwa kakosea...Brevis ni kianzia 2.5L.....Cc2000?hakuna brevis ya hivyo mkuu.
Nissan ya umeme hio ndio ikoje mkuu?
Kangekuwa kana injini ya petrol hata mimi kananishawish haswa interior yakeHua kako poa sana na kamechukua awards nyingi sana huko ma mbele mzee baba.
Gari ni matunzo mkuu....hao wanaosema shipa au jini hawajui magari.Uko sahihi %100 mkuu inaweza ikawa 2500 ila nimepigwa danganya toto lkn haisumbui...iko poa tuu....
Gx100 hata bure hapana! Labda 110 japo sijajua Ina CC ngapi na kama ni 6 cylinder au 4
Alafu wanavyoiponda kama wameshawahi kumiliki
Simu yangu ina shida ku upload picha ,ninge upload picha ya gari husika ili wanaoambiwa kuwa brevis ni magari ya chini ya bahari (majini) wakome ...Afadhali wewe umesema kuispoti hiyo gari, maana ndio nimeilipia juzi juzi tu sasa nikisikia vile watu wanaipondea huwa nawaza labda nimejichanganya kununua hilo gari.
Gx 110 ziko zenye 2L na 2.5L
Hujakutana na ford Everest 2020 ni balaaBrevis ni moja ya gari tamu sana ila wengi wanaonunua hawana uwezo wa kulimiki na kusingizia ubovu au ulaji wa mafuta hali inayopelekea kuuzwa bei ya chini.
Waswahili wanasema starehe gharama, huwezi kutaka comfot kwenye gari halafu itumie mafuta kama ya kwenye ist. Na hakuna gari inayoweza kukupa vigezo vyote unavyovitaka duniani.
Mzee baba wala usiwe na wasiwasi kile chuma ni uhakika utakula upepo mpk ujiulize hivi hawa wanaoiponda hua wanaijua au?
Mkuu brevis kuna ya cc 2500 na cc 3000Nilinunua kwa mtu sasa cjajua nilienda na fundi wangu akaicheki gari akasemaniko poa nikatoa pesa nikanunua na niksmbiwa ina cc 2000 na kwny kadi ina soma ivyo wenda wali swap..