Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Ameswap na 1GFE itakuwa.... Engine inapendwa hii lakini mie ndio nimeishusha na kuweka 2jzge
Kuna Comments huko mbeleni amesema hana uhakika mkuu.

Niliona ile Project yako nadhani ilikua kwny IS200,vipi swap imekua successfully?
 
Kwanza mfuko wa mtu unachangia uchaguzi wa gari lakini vile vile worldwide, Toyota inajulikana kuwa ni most reliable kuliko wengine, Germans car wanajulikana kufanya kitu rahisi kuwa kigumu, US manufacturers wao ndio wanafyatua tu reliability haipo kwenye akili zao.

Tujaalie spare za magari yote zinapatikana TZ, lakini Toyota itabaki kuwa the most reliable halafu ni rahisi kuitengeza pale inapopata matatizo sio kama magari mengine.

So mimi naona watu wanakuwa concerned zaidi pale gari ikianza kusumbua na mfuko hauko vizuri, kwenye toyota unaweza kuweka mafuta ya kupikia yalokwisha tumika kama engine oil na ukaendesha fresh ila kwa BMW mara inakugomea apo apo... (Jokes tu)
 
Kuna Comments huko mbeleni amesema hana uhakika mkuu.

Niliona ile Project yako nadhani ilikua kwny IS200,vipi swap imekua successfully?
Hii project imeingia gundu na hatujapata ufumbuzi hadi sasa, na sitaki kubahatisha kununua vitu halafu ikwa bado yale yale. Nimejaribu kuwatumia GearTech Perfomance nione ushauri wao nini mana jamaa wanacheza nazo sana.

Kuna video nimeweka pale, unaweza kushare uzoefu wako, mie kichwa kimewaka moto tayari 😀 natamani kurudisha 1G yangu lakini bado mbishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo maana nasemaga watu wasitishike na coments za huku jf... passo yenyewe haiagizwi ml 8..

Hapa ndiyo utagundua humu watu huwa wanajivika status ambazo si zao
Katika comments ya kipuuzi ni hii yako, unaweza kujifanya mjuaji kumbe mtupu tu, ndiyo maana mnapigwa kila siku, ngoja nikuonyeshe gari hiyo Brevis
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo maana nasemaga watu wasitishike na coments za huku jf... passo yenyewe haiagizwi ml 8..

Hapa ndiyo utagundua humu watu huwa wanajivika status ambazo si zao
Unawaza umaarufu/statuz zinasaidia nini mbona mtoto hivyo, gari brevis hii hapa mpyaaaaa owner unaanza kumiliki wewe milion 8

Cc2490 imetembea umbali km 82272,

Jambo usilolijua unatakiwa ukae kimya
 
Mil 8 brevis mpyaaaa?

Ulishawahi kuagiza gari used kutoka nje?

Bila shaka hio itakua Brevis Made from Buhongwa-Mwanza.
Huwa hampo majini mkiwa mnataka vyombo vya usafari ndiyo maana hamjui hata bei,

gari brevis hii hapa mpyaaaaa owner unaanza kumiliki wewe milion 8

Cc2490 imetembea umbali km 82272,
 
Huwa hampo majini mkiwa mnataka vyombo vya usafari ndiyo maana hamjui hata bei,

gari brevis hii hapa mpyaaaaa owner unaanza kumiliki wewe milion 8

Cc2490 imetembea umbali km 82272, View attachment 1500292
Duu Magari yote kuanzia cc 2500 kushuka chini yangetakiwa kuuzwa Kwa bei hii ingekuwa poa Sana nadhani kila mmoja angekuwa anabadili ndinga kila baada miaka 2
 
Huwa hampo majini mkiwa mnataka vyombo vya usafari ndiyo maana hamjui hata bei,

gari brevis hii hapa mpyaaaaa owner unaanza kumiliki wewe milion 8

Cc2490 imetembea umbali km 82272, View attachment 1500292
Hahah kwamba ukiweka hio picha ya brevis ndio ita justify kwamba inanunuliwa mil 8?

Twende kimahesabu:

Brevis ya 2001 TRA watakuchaji Tsh. 4,857,574

Then Shipping lines+Wharfage+ Port charges+Plate number+ Agency fee fanya roughly Tsh. 900,000

Total cost:4,857,574+900,000=Tsh.5,757,574

Hapo bado hatujaweka CIF ya hio brevis,since umesema total cost ni mil 8 then CIF

CIF:8,000,000-5,757,574=Tsh. 2,242,426

Tuipeleke kwny USD:2,242,426÷2318=$967

Then nionyeshe brevis yenye CIF ya $967 uliinunulia wapi wewe mtoto wa mjini.
 
Hivi we jamaa utakua mgeni na brevis
Kweli aisee mimi ni mgeni, huwa naendesha Avon nikijitahidi sana Naendesha Swala/Phoenix sasa wewe mwenye kuifahamu brevis vzr nimeomba uweke calculations zako pale juu, easy as that.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo maana nasemaga watu wasitishike na coments za huku jf... passo yenyewe haiagizwi ml 8..

Hapa ndiyo utagundua humu watu huwa wanajivika status ambazo si zao
Hahah daah afu huwezi amini jamaa amekomaa mpk ameweka na picha ku-justify aisee,hahah.
 
Katika comments ya kipuuzi ni hii yako, unaweza kujifanya mjuaji kumbe mtupu tu, ndiyo maana mnapigwa kila siku, ngoja nikuonyeshe gari hiyo Brevis
Daa...sasa mbona unakuwa mkali kiasi hicho..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…