Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Kati ya:-

Brevis
Verossa
Gx 110
Xtrail

Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
Brevis na Xtrial ondoa kabisa hayo magar n miyeyusho.(ingia mitandaon utakuta brevis namba D safi inauzwa mpaka milion 4, hujiuliz kwa nn)
kama una pesa ya mafuta chukua Gx 110
-verosa siipendi by nature-
 
Nashangaa sana hilo! Nimeona Brevis nyingi sana zikiuzwa kwa bei ya 4.5 - 5.0 milion kitu ambacho sio cha kawaida!
Hata Xtrail nazo ni hivyo hivyo[emoji2297]
 
Brevis na Xtrial ondoa kabisa hayo magar n miyeyusho.(ingia mitandaon utakuta brevis namba D safi inauzwa mpaka milion 4, hujiuliz kwa nn)
kama una pesa ya mafuta chukua Gx 110
-verosa siipendi by nature-
Brevis haziuzwi bei rahisi sababu ya ubovu,wanaziuza bei rahisi sababu wabongo especially madalali wameshaipa jina baya(Jini Mafuta) sababu ya kua na Cc 2500&Cc 3000.

Lkn ni gari makini sana na hainaga ubovu huo mnaoaminishwa.
 
Brevis mnaiponda Basi tu,
Wengine hata kuyamiliki hawajawahi lakini ndo mabingwa wakusema vibaya.
Mbali na matumizi makubwa ya mafuta , brevis ni gari tamu Sana.
Why hao watu waiponde hiyo tu? Shida ni ipi sasa[emoji848]
 
Ni gari poa sana hio na sisi wengine ambao hatujali resell value hayo majini mafuta ndio tunayapenda.

Kiukweli nimeshakua addicted 6 cylinders kuna ile smoothness flani hivi naipata ambayo kwny 4 cylinders utaona gari inalalamika tu.
Hili dude nafikiria sana kuichukua,sema shida ndio hapo kwenye resell,ila kiupande mwingine gari tamu sana
 
Back
Top Bottom