Gari ipi used itanifaa kwa kipato cha 700k kwa mwezi?

Gari ipi used itanifaa kwa kipato cha 700k kwa mwezi?

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Habari wakuu!

Kwa kipato hicho tajwa hapo juu, ni gari aina gani itanifaa na nitaweza kuimudu kwa pesa niipatayo cash kwa mwezi?

~Passo siitaki
~Gx100 siitaki.
~porte siitaki
~stalet siitaki
~duet siitaki

NB: MATUMIZI YANAWEZA KUWA KM20< kwa siku

Karibuni kwa mawazo yenu[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Mwamba tafuta Suzuki jimny au Suzuki Sumarai!
 
Hii ni kampuni ipi mkuu? Toyota au[emoji848]
Toyota
images.jpg

res.jpg
 
Back
Top Bottom