Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Hii polo ngoja ni-google niifatilie! Siijui aiseeIST
VITZ
POLO
SPACIAL
Hii ni kampuni ipi mkuu? Toyota au[emoji848]Cami
terios
Nikizazi cha volkswagen. Volkswagen polo muundo wake inafanana na Volkswagen golf.Hii polo ngoja ni-google niifatilie! Siijui aisee
hapa ndo penyewe.IST
VITZ
POLO
SPACIAL
Bodaboda ninayo, nashukuru kwa mchango wako!Nunua boda boda sasa iwapo hutaki tena gari inayo endana na laki 7 zako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hicho kipato chako hii itakufaa sana mkuu!View attachment 1489309
Ngoja niifanyie utafiti[emoji1317]
Usajili wa [emoji1139]!???[emoji848]Nunua Toyota pickup mkuu
Hiyo utaitumia kwa mambo mengi sana.
Utaendea ofisini na kwenye mizunguko yako mingine unaweka katurubai hapo nyuma kimtindo
Kanafika popote View attachment 1489451