Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Hii gari mbona wanaisema sema utamu wake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii gari mbona wanaisema sema utamu wake nini?
Bajabir ni nani?Nikitaka raba naenda pale kwa bajabir au naangiza bondoni kwa madiba wana wapo wa kushanta
Hahahahahah ya chini🤣🤣 ya chini hiyo itakuwa.
Ya juu imejaa wafugaji
Why hujamweka na AthleteCrown Royal Saloon
View attachment 2772024
Majesta
View attachment 2772017
Land Cruiser
View attachment 2772029
Ndio mmejaa wala mirungi ehee?Hahahahahah ya chini
Hahahaa endelea kumuungisha katibu wa mbogamboga za kikeBajabir ni nani?
Mimi wacha nikae kwa Fred na mwenzako Frank
Achana PT we walete ata vijana wa Mkunda tena wale wa Kihangaiko tutacheza nao tuNdio mmejaa wala mirungi ehee?
Kesho nawaitishia PT
FortunerJe, gari lako la Toyota ni lipi unalolipenda zaidi?
Jamani 😂😂Hahahaa endelea kumuungisha katibu wa mbogamboga za kike
Ndugu wa damu na royal saloonWhy hujamweka na Athlete
Ipi mkuuHii gani mbona wanaisema sema utamu wake nini humu
Toyota GR division ni hatari sana 🙌🏿2020 toyota supra GR
Hiyo Royal saloonIpi mkuu
Gari za kazi .nataka nifunge safari niifuate Namibia najaziqjazia dollarsHili nasikia ukiwa nalo ukienda Benk unapewa mkopo bila mashart unaonekana we ni mtu wa kazi
Huko yapo mengi etGari za kazi .nataka nifunge safari niifuate Namibia najaziqjazia dollars