Gari kuchemsha

Gari kuchemsha

Joined
May 2, 2022
Posts
7
Reaction score
8
Habar wakubwa na gari yangu aina ya nissan bluebird inAchemshA nimeshasafisha rejeta cyclinder head na gasket nshabadili ila bado inAchemshA baada ya dakika 5 au 10 nini itakuwa shida jamani
 
Bas naomba mwenye kumjua fundi mzur wa cooling system anipe namba yake ya simu gari ipo maeneo ya Tabata
 
Habar wakubwa na gari yangu aina ya nissan bluebird inAchemshA nimeshasafisha rejeta cyclinder head na gasket nshabadili ila bado inAchemshA baada ya dakika 5 au 10 nini itakuwa shida jamani
Hio gasket ulobadilisha umeweka ya chuma au ya plastic? Kama umeweka ya chuma umefanya kazi bure. Ukibadili gasket unatakiwa utumie ya plastic
 
Pole sana mkuu..

tapatalk_1562647940254.jpeg
 
Habar wakubwa na gari yangu aina ya nissan bluebird inAchemshA nimeshasafisha rejeta cyclinder head na gasket nshabadili ila bado inAchemshA baada ya dakika 5 au 10 nini itakuwa shida jamani
Sijaona shida hapo. Kama inachemsha ni jambo jema. Mpunguze kula vitu vya mafuta. Unachemsha mihogo yako safi na chai
 
Back
Top Bottom