mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nenda MMU kajadili namna ya kupiga puli kwa Kutumia nzi, huku hapakufai.Duh gari linadai gear na we we umeshamaliza! Muone daktari. Ni mtazamo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda MMU kajadili namna ya kupiga puli kwa Kutumia nzi, huku hapakufai.Duh gari linadai gear na we we umeshamaliza! Muone daktari. Ni mtazamo tu
nimekuelewa vizuri sana, Ahasnte sana mkuuKabla ya yote mara nyingi inatokea kulingana na upangiliaji wa gia. Ukikosea kupanga gia lazima itadai. Kila mwendo unagia yake. Ikiwa wewe uko mwendo wa 50 KPH ni dhahiri kabisa lazima injini idai gia. Kwa kawaida kama unajua unasafari ndefu hiyo speed 50 unatakiwa uwe namba 3 na pindi ukifika 80 uwe umefika namba 4. Pia inagetemea na injini. Kama imeshaanza kuchoka itakuwa inavuma kama inahitaji gia lakini haichanganyi. Ukiwa na upangiliaji mzuri wa gia na gari ambayo iko imara unaweza kwenda hadi 110+ kwa namba 4 halafu ukamalizia dashboard yako kwa namba 5 iliyobaki.
Vilevile kama gari umeizoesha mwendo wa speed -80 kufika 100+ huwa ngumu na matokeo yake ni injini kuvuma
Karibunimekuelewa vizuri sana, Ahasnte sana mkuu
zinadai gia ngapi .? kama vp mambie akazinunulie ..Habari zenu wakuu? Jana katika pita pita zangu kuna Rafiki yangu aliniambia hivi ''Gari yangu ina gia tano lakini nashangaa nikiwa katika mwendo na natembelea namba tano huwa inadai gia wakati gia nishamaliza'' nikawa najiuliza hivi hii inawezekana au labda kuna mtu aliiharibu? Msaada wenu tafadhari AHSANTENI