Gari kujishusha silencer

Gari kujishusha silencer

HUSSEIN9623

New Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
3
Reaction score
3
Samahani usafiri aina ya spacio new model ikitembea umbali kdg ukiacha kukanyaga mafuta inaanza kutetemeka na kutaka kuzima mpaka ukanyagie resi kdg tatizo itakua nn wakuu
 
kuna sababu kadhaaa angalia ,spark plug , angalia coil pia , angalia pia air filter mara nyimgi pia huchagia
 
Ushauri mwingine baada ya kupata ushauri wa KANYEGELO mwambie fundi afungue injector na kuisafisha vizuri.
Alafu kesho njoo hapa utushukuru
 
Ufanisi wa spark plugs, fuel pressure mbovu au misfires. A faulty idle air control valve inaweza kufanya engine idle idrop chini ya normal idling RPM, ambayo hufanya motor itikisike au kuvibrate kuliko kawaida.
 
Neno sahihi ni "idling" ila wabongo sababu ya ushamba na ujuaji mwingi tunasema silencer sijui maana yake ni nini hapo sasa.
 
Back
Top Bottom