Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Habari ya Majukumu Wakuu!
Nina gari yangu Ndogo IST, Nikijaribu Kukanyagia walau nifike 120Km/Hr, Speed ikifika tu 100 na Kuendelea napata Mtikisiko Mkubwa saana wa Injini.
Naomba Kueleweshwa tatizo lake na Tiba yake!
Naombeni Karibuni Kunisaidia kutatua hili tatizo pamoja na Chanzo Chake.
Ahsanteni saana.