Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Usiidharau IST mkuu,, ndizo gari watu wanaanza nazo wakati wanajitafuta.IST mwenzenu naiwekaga kwenye kundi la pikipiki samahani lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiidharau IST mkuu,, ndizo gari watu wanaanza nazo wakati wanajitafuta.IST mwenzenu naiwekaga kwenye kundi la pikipiki samahani lakini
Kuna watu zimewawahisha hospitali kuokoa maisha yao toka vichochoroni huko, wamepona wanazisimangaBahati mbaya sasa hata pikipiki huna..
Sijawa kuona mtu mwenye gari akifanya masimango gari za wanaume wenzake
Mkuu wengine tuna izo baby walker nipe mrejesho PMGari imepona na nimeonyeshwa tatizo. Ila kwajinsi mlivyonisimanga na IST yangu, siwapi mrejesho. Nikiwapa mrejesho mniite Mwigulu....nimekaa paleee!!!!!