Mkuu hili tatzo ulilimaliza vip..tatzo lilikuwa ni nini?Habari ya Majukumu Wakuu!
Nina gari yangu Ndogo IST, Nikijaribu Kukanyagia walau nifike 120Km/Hr, Speed ikifika tu 100 na Kuendelea napata Mtikisiko Mkubwa saana wa Injini.
Naomba Kueleweshwa tatizo lake na Tiba yake!
Naombeni Karibuni Kunisaidia kutatua hili tatizo pamoja na Chanzo Chake.
Ahsanteni saana.
Uko sahihi kabisa, IST yangu ilianza huu ugonjwa nikauza nikanunua pickpickHapa nnakupa majibu ya kweli
Kwanza fatilia nati za coils kuna zilizolegea ukivutia mafuta inaachia ndomana engine inatetema
Pili fatilia engine mounting
Fatilia Oil pump huenda haileti oil ya kutosha kanunue dawa ya kusafishia engine
Hao wengine wanakutania
Bahati mbaya sasa hata pikipiki huna..IST mwenzenu naiwekaga kwenye kundi la pikipiki samahani lakini