Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,937
- 781
Naombeni msaada gari yangu ikikaa muda kama wa masaa matatu nikiiwasha inawaka vizuri tu ila nikikanyaga moto inakuwa kama inamiss na inataka kuzima nikikanyaga sana yani mara nyinginyingi inachanganya na tatizo la kumiss linaondoka, naombeni kujua hapo shida ni nini maana nikilizima nikakaa tena baada ya masaa matatu tatizo linajirudia