Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Asante mkuuNenda kwa fundi akuangalizie ignition system, fuel system na Engine service kwa ujumla
Shida sidhan kama inaweza kuwa ni ignition system manake ameshasema gari linapiga start fresh,kuna valve hapo kwenye engine mafundi watakuwa wanaelewa ndo itakuwa na shida,nilishawah kutatuliwa hii changamoto na fundi.Nenda kwa fundi akuangalizie ignition system, fuel system na Engine service kwa ujumla
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Shida sidhan kama inaweza kuwa ni ignition system manake ameshasema gari linapiga start fresh,kuna valve hapo kwenye engine mafundi watakuwa wanaelewa ndo itakuwa na shida,nilishawah kutatuliwa hii changamoto na fundi.
Changamoto yangu ilikuwa inatokea sana asubuh wakati kuna barid,technique niliyokuwa natumia ni ku switch ignition on huku nimekanyagia accelerator pedal ili gari lisizime au pengine wakati nipo kwenye folen nahakikisha RPM haishuki 1 kwa ku balance mguu kwenye accelerator pedal,ilikuwa inanikera sana 🤣 🤣Hata mm rav 4 ipo hivi, kuna hadi muda ukiiacha On unakuta imezima
Ya huyu jamaa nadhan ni non vvti, yangu fundi alinisaidia kuosha hyo valve kwa diesel na kuipaka grease basi na changamoto ikaondoka moja kwa moja.Tatizo laweza kuwa VVti sensor. Ndio inayo control rpm kwa kubalance mafuta na hewa. Nilipata tatizo hili lakini nilitatua kwa kubadili vvti sensor kwa 50k only
Tatizo kama la gari yangu Brevis asbh nikiwasha mpaka niikanyagie kidogo nisipoikanyigia inazima.Heshima zenu wakuu.
Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sanaaaa hadi wakati mwingine inazima.
Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia vizuri kabisa.
Hii hutokea asubuhi au kama umepaki gari muda mrefu - masaa kuanzia 3 na kuendelea huko.
Gari ni Rav 4 old model (3s engine).
Naombeni msaada wakuu ili nikienda garage angalau niwe na mwanga kidogo.
Naomba kuwasilisha
Mkuu badirisha plug ndio shida. Mi pia nina gari Kama hiyo Hilo tatizo ni plug. Mi nilibadirisha mwezi uliopita iko vzr sanahata ulaji wa mafuta umebafilika. Nenda duka la Toyota wenyewe ili upate plug original wanauza 10,000 kwa moja. Duka lao lipo mkono wa kushoto ukinyosha ile barabara ya mwendo kasi kutokea fire kwenda k/kooHeshima zenu wakuu.
Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sanaaaa hadi wakati mwingine inazima.
Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia vizuri kabisa.
Hii hutokea asubuhi au kama umepaki gari muda mrefu - masaa kuanzia 3 na kuendelea huko.
Gari ni Rav 4 old model (3s engine).
Naombeni msaada wakuu ili nikienda garage angalau niwe na mwanga kidogo.
Naomba kuwasilisha
Gari yoyote ikishaanza kuzeeka huja na mambo yake mkuuKumbe hata RAV 4 huwa zina shida zake. Sasa mbona washkaji huwa wananiponda sana napoomba ushauri kwenye babywoka yangu! Huu si ussenge huu?
Asante sana mkuu. Plug nimebadilisha hazina mwezi. Na nilinunua (mwenyewe) hizo hizo originalMkuu badirisha plug ndio shida. Mi pia nina gari Kama hiyo Hilo tatizo ni plug. Mi nilibadirisha mwezi uliopita iko vzr sanahata ulaji wa mafuta umebafilika. Nenda duka la Toyota wenyewe ili upate plug original wanauza 10,000 kwa moja. Duka lao lipo mkono wa kushoto ukinyosha ile barabara ya mwendo kasi kutokea fire kwenda k/koo
Yaani kuwaka haina shida kabisa. Tatizo ikishawaka ndo shida zinaanza. Baada ya dakika 2 hadi 3 inatulia fresh kabisa kama sio ile. [emoji1787]Shida sidhan kama inaweza kuwa ni ignition system manake ameshasema gari linapiga start fresh,kuna valve hapo kwenye engine mafundi watakuwa wanaelewa ndo itakuwa na shida,nilishawah kutatuliwa hii changamoto na fundi.
Asante sana mkuu.View attachment 1714901
Culprit wangu alikuwa hapa