Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
1,129
Reaction score
302
Heshima zenu wakuu.

Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sana hadi wakati mwingine inazima.

Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia vizuri kabisa.

Hii hutokea asubuhi au kama umepaki gari muda mrefu - masaa kuanzia 3 na kuendelea huko.

Gari ni Rav 4 old model (3s engine).

Naombeni msaada wakuu ili nikienda garage angalau niwe na mwanga kidogo.

Naomba kuwasilisha
 
Nenda kwa fundi akuangalizie ignition system, fuel system na Engine service kwa ujumla

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Shida sidhan kama inaweza kuwa ni ignition system manake ameshasema gari linapiga start fresh,kuna valve hapo kwenye engine mafundi watakuwa wanaelewa ndo itakuwa na shida,nilishawah kutatuliwa hii changamoto na fundi.
 
Hata mm rav 4 ipo hivi, kuna hadi muda ukiiacha On unakuta imezima
 
Changamoto yangu ilikuwa inatokea sana asubuh wakati kuna barid,technique niliyokuwa natumia ni ku switch ignition on huku nimekanyagia accelerator pedal ili gari lisizime au pengine wakati nipo kwenye folen nahakikisha RPM haishuki 1 kwa ku balance mguu kwenye accelerator pedal,ilikuwa inanikera sana 🤣 🤣
 
Heshima zenu wakuu.

Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sanaaaa hadi wakati mwingine inazima.

Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia vizuri kabisa.

Hii hutokea asubuhi au kama umepaki gari muda mrefu - masaa kuanzia 3 na kuendelea huko.

Gari ni Rav 4 old model (3s engine).

Naombeni msaada wakuu ili nikienda garage angalau niwe na mwanga kidogo.

Naomba kuwasilisha
Tatizo kama la gari yangu Brevis asbh nikiwasha mpaka niikanyagie kidogo nisipoikanyigia inazima.
 
Heshima zenu wakuu.

Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sanaaaa hadi wakati mwingine inazima.

Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia vizuri kabisa.

Hii hutokea asubuhi au kama umepaki gari muda mrefu - masaa kuanzia 3 na kuendelea huko.

Gari ni Rav 4 old model (3s engine).

Naombeni msaada wakuu ili nikienda garage angalau niwe na mwanga kidogo.

Naomba kuwasilisha
Mkuu badirisha plug ndio shida. Mi pia nina gari Kama hiyo Hilo tatizo ni plug. Mi nilibadirisha mwezi uliopita iko vzr sanahata ulaji wa mafuta umebafilika. Nenda duka la Toyota wenyewe ili upate plug original wanauza 10,000 kwa moja. Duka lao lipo mkono wa kushoto ukinyosha ile barabara ya mwendo kasi kutokea fire kwenda k/koo
 
1614614768828.png

Culprit wangu alikuwa hapa
 
Mkuu badirisha plug ndio shida. Mi pia nina gari Kama hiyo Hilo tatizo ni plug. Mi nilibadirisha mwezi uliopita iko vzr sanahata ulaji wa mafuta umebafilika. Nenda duka la Toyota wenyewe ili upate plug original wanauza 10,000 kwa moja. Duka lao lipo mkono wa kushoto ukinyosha ile barabara ya mwendo kasi kutokea fire kwenda k/koo
Asante sana mkuu. Plug nimebadilisha hazina mwezi. Na nilinunua (mwenyewe) hizo hizo original
 
Shida sidhan kama inaweza kuwa ni ignition system manake ameshasema gari linapiga start fresh,kuna valve hapo kwenye engine mafundi watakuwa wanaelewa ndo itakuwa na shida,nilishawah kutatuliwa hii changamoto na fundi.
Yaani kuwaka haina shida kabisa. Tatizo ikishawaka ndo shida zinaanza. Baada ya dakika 2 hadi 3 inatulia fresh kabisa kama sio ile. [emoji1787]
 
Back
Top Bottom