PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hahahaha!!!!Hii ni experience nzuri sana.
Haya ndiyo mambo yanayotakiwa watu kushare pamoja...
Ukipata tatizo fulani unaelezea namna lilivyotibiwa inasaidia wengine wanaomiliki gari la aina hiyo..
Nachukia sana wale watu wanasema tu...gari fulani majanga...anaishia hapo haelwzi kwa kina matatizo ya gari husika na namna ya kuyatatua
Mkuu hiyo process ni normal kabisa kwa gari za kisasa. Iko programmed kwenye ECU kuisaidia engine kufanya kazi vizuri immediately hata kwenye cold start. Iki rev juu hivyo engine inapata joto haraka, na mafuta yanaweza kuchanganyikana na hewa upesi. Bila hivyo, utasikia kama gari linasinzia hivi ukitia gia kuondoka. Nyingine huwa zinazima kabisa. Hasa zenye manual transmission.Nini kinachangia kupanda silencer ikiwa iddle.
Kuna gari ya jamaa alishusha silencer mpaka 700.
Ila asubuhi akiwasha gari, silencer inapanda yenyewe mpaka 1200 halafu inarudi yenyewe taratibu mpaka 900 na sio 700 iliyowekwa awali.
Mkuu hapo kwenye fan, fan ipi unayoizungumzua? Hio fan inayowaka muda wote?Mkuu hiyo process ni normal kabisa kwa gari za kisasa. Iko programmed kwenye ECU kuisaidia engine kufanya kazi vizuri immediately hata kwenye cold start. Iki rev juu hivyo engine inapata joto haraka, na mafuta yanaweza kuchanganyikana na hewa upesi. Bila hivyo, utasikia kama gari linasinzia hivi ukitia gia kuondoka. Nyingine huwa zinazima kabisa. Hasa zenye manual transmission...
Ile ya kwenye engine iliyofungwa karibu na radiator.Mkuu hapo kwenye fan, fan ipi unayoizungumzua? Hio fan inayowaka muda wote?
Kuna magari ya mafeni mawili mengine moja sasa yale yenye moja inakuaje na yenyewe hua mafeni yale yanasimama au?Ile ua
Ile ya kwenye engine iliyofungwa karibu na radiator.
Yes. Inasimama. Hasa ukiwa highway maana inaingia hewa ya kutosha kupoza coolant/maji ya radiator. Lakini mara nyingi hizi zinakuwa on muda mwingi hasa ukiwasha A/C. Ila gari nyingi za kisasa zina fans mbili. Moja ya radiator, moja ya condensor ya A/C.Kuna magari ya mafeni mawili mengine moja sasa yale yenye moja inakuaje na yenyewe hua mafeni yale yanasimama au?
Mimi gari nalotumia lipo moja na natumiaga A/C muda wote na pia thermostat wameitoa ila nikiendaga umbali mrefu sana lazima temperature ipande hivi kutoa thermostat inaweza kua ni chanzo hicho?Yes. Inasimama. Hasa ukiwa highway maana inaingia hewa ya kutosha kupoza coolant/maji ya radiator. Lakini mara nyingi hizi zinakuwa on muda mwingi hasa ukiwasha A/C. Ila gari nyingi za kisasa zina fans mbili. Moja ya radiator, moja ya condensor ya A/C.
Karibia Magari yote yanakuwa na feni mbili,moja inakuwa kwaajili ya kupoza rejeta na nyingine kwaajili ya AC na hii feni ya AC huwa inazunguka pale unapowasha AC.Mimi gari nalotumia lipo moja na natumiaga A/C muda wote na pia thermostat wameitoa ila nikiendaga umbali mrefu sana lazima temperature ipande hivi kutoa thermostat inaweza kua ni chanzo hicho?
Kwa namna fulani inachangia overheating. Labda nikuulize, fan yako imefungwa kwenye engine au inazungushwa na umeme?Mimi gari nalotumia lipo moja na natumiaga A/C muda wote na pia thermostat wameitoa ila nikiendaga umbali mrefu sana lazima temperature ipande hivi kutoa thermostat inaweza kua ni chanzo hicho?
Ni kweli mkuu fan ya AC ni ndogo kimtindo ipo karibu na condenserKaribia Magari yote yanakuwa na feni mbili,moja inakuwa kwaajili ya kupoza rejeta na nyingine kwaajili ya AC na hii feni ya AC huwa inazunguka pale unapowasha AC.
Hiyo gari itakuwa haujachek vizuri sidhani kama feni IPO moja Tu
Basi ngoja nifanye mchakato nitafute thermostat niirudishieKwa namna fulani inachangia overheating. Labda nikuulize, fan yako imefungwa kwenye engine au inazungushwa na umeme?
Kinachofanya ipate joto ni kwamba engine inakuwa muda wote inafanya kazi ya kujipasha joto, huku at the same time inapozwa constantly. Sasa kama ni zile zilizofungwa kwenye engine, kadri unavyoongeza mwendo ndio fan inapata nguvu zaidi ya kupoza, na engine inahangaika zaidi kujipasha joto ili iweze kufanya kazi vizuri. So hapo unaona inakuwa na mzigo mkubwa. So lazima ichemke.
hii shda nnauo kwenye gar ynguSubaru zote ziko hivyo ukisafisha throttle Tu engine inakuwa na nguvu mno nakumbuka subaru forester ya jamaa Yangu alisumbuka nayo Sana Kwa mafundi makanjanja mpaka alivyoenda Kinondoni Biafra garage ndipo gari ilitulia,
Tena gari yake ilikuwa inawaka taa ya check engine muda wote....
Poa mkuu. Ni ya muhimu kweli.Basi ngoja nifanye mchakato nitafute thermostat niirudishie
Mzee ni kitu gani umeandika hapaSame problem.
Rpm inasoma 20kph.
Ikiwa silence
Rav4V kilitime
Hata mimi najishangaa😆😆Mzee ni kitu gani umeandika hapa
Hivi sensor za speed ni hizo hizo za ABS?Hio uloandika sio RPM ni speedometer. Kachekishe Sensor za speed kama zipo sawa na hio cluster.
Sina uhakika lakini navoua ni kuwa sensor za speed huwa zinatoka from gearboxHivi sensor za speed ni hizo hizo za ABS?
Okay nimekupataSina uhakika lakini navoua ni kuwa sensor za speed huwa zinatoka from gearbox
Na nini effect ya sensor za speed kufa au kutofanya kazi sawa sawa?Sina uhakika lakini navoua ni kuwa sensor za speed huwa zinatoka from gearbox
Kama haipeleki signal kwenye dashboard manake speedometer yako itakuwa haifanyi kazi itakaa zero tu ila ikifa kuwa haifanyi kazi kabisa, hapo utapata misukosuko kwenye gears. Gear zitachelewa kubadilika na huenda ukajikuta umeganda kwenye gear haibadiliki kwenda gear ya juu.Na nini effect ya sensor za speed kufa au kutofanya kazi sawa sawa?