worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 978
- 911
Nashukuru kwa elimu bro.Kama haipeleki signal kwenye dashboard manake speedometer yako itakuwa haifanyi kazi itakaa zero tu ila ikifa kuwa haifanyi kazi kabisa, hapo utapata misukosuko kwenye gears. Gear zitachelewa kubadilika na huenda ukajikuta umeganda kwenye gear haibadiliki kwenda gear ya juu.
Unaweza kujikuta upo gear ya pili engine RPM inapanda sana gear haibadiliki tu
Nimekupata