GARI KUWAKA TAA IKIWA IMEZIMWA

Mshasha wane

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
234
Reaction score
633
Habari ndugu zangu, samahani kama wiki hivi nimekuwa napitia changamoto ya gari yangu kuwaka taa na kuzima hata kama nikiwa nimeizima. Hali hii imenilazimu nikiwa nazima taa nichomoe terminal. Naomba kuuliza shida inaweza kuwa nini. Nimeenda kwa fundi zaidi ya mara tatu ananiambia mkono mchafu tunasafisha ila wapi
 

Kuna waya zipo uchi...

Au relay kimeo....

Au switch ya taa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…