Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 234
- 633
Habari ndugu zangu, samahani kama wiki hivi nimekuwa napitia changamoto ya gari yangu kuwaka taa na kuzima hata kama nikiwa nimeizima. Hali hii imenilazimu nikiwa nazima taa nichomoe terminal. Naomba kuuliza shida inaweza kuwa nini. Nimeenda kwa fundi zaidi ya mara tatu ananiambia mkono mchafu tunasafisha ila wapi