Gari kuwaka taa za mbele (Parking Light) Nikikanyaga Break

Gari kuwaka taa za mbele (Parking Light) Nikikanyaga Break

Kindeena

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
11,462
Reaction score
21,124
Ninaomba mwenye uelewa anisaidie.
Gari aina ya Nissan Extrail, nikifunga break taa za mbele yaani parking light zinawaka. Pia taa za plate number zinawaka; na dash board inawaka
 
Ninaomba mwenye uelewa anisaidie.
Gari aina ya Nissan Extrail, nikifunga break taa za mbele yaani parking light zinawaka. Pia taa za plate number zinawaka; na dash board inawaka
mkuu naomba nipe uzoefu wako wa extrail kwa safari ndefu kwa mfano umbali wa km 600-900 kwa siku je ni kweli kuwa huwa zinapata joto sana?
 
Naomba nikuulize..Je, Gari lako hujalipeleka kwa mafundi manjonjo wanaongeza taa za ajabu ajabu kwenye gari?
 
Back
Top Bottom