Gari la Diamond Lamchefua Wema

Alishazoea akiachana ananyang'anywa....
sasa hapo kapata cha kujishaua nacho View attachment 212477

Anahitaji kuomba apate mwanaume tajiri amuoe Kama mwenzie klynn alivyobahatika but wema has no class what kind of a respectable man would marry her with all those tattoos and skin bleaching and too much mashauzii she needs to learn to be humble and keep it on DL
 
Hapo atakama unaroho y kigaidi huwezi oa huyu ni mwanamke w burudani tu leo kigodoro kesho kwenye kibao kata cha martin kadinda
 
wa kumpakua atawapaya wengi ila wa kuoa mmh labda akakae nje ya nchi kwa muda atampata...
 
Ni mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na pesa anayo! We umeona wapi hapa bongo mwanamke mwenye watoto 3 yupo vizuri hivo?
labda mama wawili k-lyn nae kajitahidi kumaintain kimwili chake....
 
Kiukweli nikiwaza zile picha za Zarinah na ndomo hadi roho inaniuma japo sio mimi,sasa yeye sijui ana hali gani!

Huyo huwa hajielewi istoshe cjui kaenda ghana kufanya nini.alizindua kimovie gani cjui n omotola hata copy kumi hakuuza
 
Huyo huwa hajielewi istoshe cjui kaenda ghana kufanya nini.alizindua kimovie gani cjui n omotola hata copy kumi hakuuza

Ni movie ya super star...nadhani haijatoka hadi leo.
Tungoje hii anayofanya na van vicker....yule tatizo mbwembwe nyingi sana
 
Ni movie ya super star...nadhani haijatoka hadi leo.
Tungoje hii anayofanya na van vicker....yule tatizo mbwembwe nyingi sana

mbwembwe si kidogo hiyo movie hata haijaisha kishaionesha oneshaaa itamdodea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…