Gari la Diamond Lamchefua Wema

Gari la Diamond Lamchefua Wema

Hahaaaa,ndio maana wema anachanganyikiwa.

kwa zari lazma achanganyikiwe alikua kawazoea kina kajala ha ha ha pale chiboko
hivi kwny show ya chamelion alienda? nliona anaonsha sijui ndo kadi sijui tiketi
 
Hahaaaa,hata sijui shoga.Si bado yupo Ghana?
 
Ni movie ya super star...nadhani haijatoka hadi leo.
Tungoje hii anayofanya na van vicker....yule tatizo mbwembwe nyingi sana

Huwa anajifanya w kishua kumbe kakulia mitaa y maeda,sifa huwa zinakuja zenyewe kwa wa2 kuona maendeleo yko
 
Jamani Wema haamini macho yake,mumuhurumie tuu!!
 
alafuuu naomba kuuliza kwa wanaomjua biubaya vizuri, hivi huyu bidada anasauti ngapi??? alikwisha bahatika kuskia sauti yake natural atanielewa, hii sauti anayoongelea kwenye media ni 100% made, fake fakizoni.
 
kwa zari lazma achanganyikiwe alikua kawazoea kina kajala ha ha ha pale chiboko
hivi kwny show ya chamelion alienda? nliona anaonsha sijui ndo kadi sijui tiketi

mbona kinyonga alikuwa kwa zari??? hapa ndio na mimi sikuelewa
 
Naona michirizi ya Wema ndo imeshakuwa jiwe la kumpigia.....hivi wanawake wa humu hamnaga michirizi etii?
Maana naona kila mahali wanamkandia na kumcheka eti michirizi michirizi.....dah mpaka nahisi humu kuna full malaika waso na kasoro!

Anyways tambeni tu kuwananga wenzenu vile nyie mpo nyuma ya keyboard!
 
alafuuu naomba kuuliza kwa wanaomjua biubaya vizuri, hivi huyu bidada anasauti ngapi??? alikwisha bahatika kuskia sauti yake natural atanielewa, hii sauti anayoongelea kwenye media ni 100% made, fake fakizoni.
Yule bibi ana sauti nne!!kama kwaya ya ulyankuru,ukimkuta anavojibebisha kama jini mahaba utashangaa!!kuna ile ya kuongea na wanawake(ya pili),kuna ya tatu akilewa,kuna ya nne akiwa anawafanyia ukatili vijakazi!!Ni drama queen kabisaaa!!
 
Naona michirizi ya Wema ndo imeshakuwa jiwe la kumpigia.....hivi wanawake wa humu hamnaga michirizi etii?
Maana naona kila mahali wanamkandia na kumcheka eti michirizi michirizi.....dah mpaka nahisi humu kuna full malaika waso na kasoro!

Anyways tambeni tu kuwananga wenzenu vile nyie mpo nyuma ya keyboard!
We mwana wewe,kuna thhread ya mfalme pale juu sijui kma itadumu hata sekunde...
 
Hahahaaaaaaa uwiiiiii
 
Hapo atakama unaroho y kigaidi huwezi oa huyu ni mwanamke w burudani tu leo kigodoro kesho kwenye kibao kata cha martin kadinda

hapa ndipo anaponichosha kuliko ujauzito unavyoweza kunichosha, kuna siku nilimskia eti anasema ''kigodoro cha jana kilikuwa kitamu, yani sidhani kama nitakaa nikose kwenye kigodoro''
 
Naona michirizi ya Wema ndo imeshakuwa jiwe la kumpigia.....hivi wanawake wa humu hamnaga michirizi etii?
Maana naona kila mahali wanamkandia na kumcheka eti michirizi michirizi.....dah mpaka nahisi humu kuna full malaika waso na kasoro!

Anyways tambeni tu kuwananga wenzenu vile nyie mpo nyuma ya keyboard!

Hatuna bibie,hata kama ipo tunaificha,yeye si anaianika?acha tumseme
 
Back
Top Bottom