Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hahaaaa,ndio maana wema anachanganyikiwa.
mbwembwe si kidogo hiyo movie hata haijaisha kishaionesha oneshaaa itamdodea
kwa zari lazma achanganyikiwe alikua kawazoea kina kajala ha ha ha pale chiboko
hivi kwny show ya chamelion alienda? nliona anaonsha sijui ndo kadi sijui tiketi
Ni movie ya super star...nadhani haijatoka hadi leo.
Tungoje hii anayofanya na van vicker....yule tatizo mbwembwe nyingi sana
Huwa anajifanya w kishua kumbe kakulia mitaa y maeda,sifa huwa zinakuja zenyewe kwa wa2 kuona maendeleo yko
kwa zari lazma achanganyikiwe alikua kawazoea kina kajala ha ha ha pale chiboko
hivi kwny show ya chamelion alienda? nliona anaonsha sijui ndo kadi sijui tiketi
Huwa anajifanya w kishua kumbe kakulia mitaa y maeda,sifa huwa zinakuja zenyewe kwa wa2 kuona maendeleo yko
Kiukweli nikiwaza zile picha za Zarinah na ndomo hadi roho inaniuma japo sio mimi,sasa yeye sijui ana hali gani!
Yule bibi ana sauti nne!!kama kwaya ya ulyankuru,ukimkuta anavojibebisha kama jini mahaba utashangaa!!kuna ile ya kuongea na wanawake(ya pili),kuna ya tatu akilewa,kuna ya nne akiwa anawafanyia ukatili vijakazi!!Ni drama queen kabisaaa!!alafuuu naomba kuuliza kwa wanaomjua biubaya vizuri, hivi huyu bidada anasauti ngapi??? alikwisha bahatika kuskia sauti yake natural atanielewa, hii sauti anayoongelea kwenye media ni 100% made, fake fakizoni.
Ni mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na pesa anayo! We umeona wapi hapa bongo mwanamke mwenye watoto 3 yupo vizuri hivo?
We mwana wewe,kuna thhread ya mfalme pale juu sijui kma itadumu hata sekunde...Naona michirizi ya Wema ndo imeshakuwa jiwe la kumpigia.....hivi wanawake wa humu hamnaga michirizi etii?
Maana naona kila mahali wanamkandia na kumcheka eti michirizi michirizi.....dah mpaka nahisi humu kuna full malaika waso na kasoro!
Anyways tambeni tu kuwananga wenzenu vile nyie mpo nyuma ya keyboard!
Yule bibi ana sauti nne!!kama kwaya ya ulyankuru,ukimkuta anavojibebisha kama jini mahaba utashangaa!!kuna ile ya kuongea na wanawake(ya pili),kuna ya tatu akilewa,kuna ya nne akiwa anawafanyia ukatili vijakazi!!Ni drama queen kabisaaa!!
We mwana wewe,kuna thhread ya mfalme pale juu sijui kma itadumu hata sekunde...
Hapo atakama unaroho y kigaidi huwezi oa huyu ni mwanamke w burudani tu leo kigodoro kesho kwenye kibao kata cha martin kadinda
Naona michirizi ya Wema ndo imeshakuwa jiwe la kumpigia.....hivi wanawake wa humu hamnaga michirizi etii?
Maana naona kila mahali wanamkandia na kumcheka eti michirizi michirizi.....dah mpaka nahisi humu kuna full malaika waso na kasoro!
Anyways tambeni tu kuwananga wenzenu vile nyie mpo nyuma ya keyboard!
Ukimkuta kwenye movie ana sauti ya katoto!!Ee nifah nisaidie kuita raia mnielimishe juu ya maisha ya Mfalme!Hahahaaaaaaa uwiiiiii
Hahaaaa,mimi ule mguu tu aisee
Kama wa Wema!