Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.


 
Huyu pimbi hajuj kuna magari hayapo kwenye orodha ya makadirio ya kodi kwenye system inabidi watu wakae wakwambie ulipie kiasi gani.

Mnakuja kudanganya watu wasiojua mambo.

Unaponda mwenzio kununua kitu cha mamilioni wakati wewe unadaiwa na TALA.
 
Tumpongeze sana mwalimu wako aliyehakikisha tahahira kama wewe angalau unaweza kusoma. Kwa matope haya uliyonayo kichwani huwezi kutofautisha kwamba hiyo ni RR Ghost na Diamond ana RR Culinan?

Wewe ukisikia mtu kanunua Toyota unafyatuka kukagua bei yoyote unayoweza kugoogle na kitekno chako kilichopasuka. Utajuaje ni IST, Alex, Land Cruiser, Alphard...
 
Sio lazima wote tuwe tuna andika thread wengine tubakiage wasomaji tu ama tuwe watoa mawazo
sasa shangaa hili taahira hapa lina leta uzwa kumbe hata bei ya dawa ya mswaki hufahamu
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Mkuu ngoja nikupe mfano mzuri uelewe

Toyota Rav 4 ziko za aina tofauti
1. Old Model
2. Miss Tanzania
3. Kill Time
4. Vanguard

Hzo zote hapo ni Rav 4 by nature ila bei zake ziko tofauti kabisa kutokana na Millage na mwaka uliiotengenezwa

Sasa hapo umeweka RR Ghost badala ya Culinan ambayo ni latest ya 2021 ulishindwa hata ku reason kawaida tu

Fine tyre zake mnasema gar ni used embu take trouble kutafuta bei ya used Culinan ni kiasi gani then urud tena

Tunaweza kwel kumchukia tu Diamond kwa sababu ya umasikini wetu ila atlist lets respect his husttle Man.

Peace n Out!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…