Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Tumpongeze sana mwalimu wako aliyehakikisha tahahira kama wewe angalau unaweza kusoma. Kwa matope haya uliyonayo kichwani huwezi kutofautisha kwamba hiyo ni RR Ghost na Diamond ana RR Culinan?

Wewe ukisikia mtu kanunua Toyota unafyatuka kukagua bei yoyote unayoweza kugoogle na kitekno chako kilichopasuka. Utajuaje ni IST, Alex, Land Cruiser, Alphard...
Hakuna haja ya kumfafanulia mkuu. Amejiaibisha kuleta mada kama hii kwa intellectuals.
Hajui kutofautisha magari?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Uliona linatembea Wapi lile gari tokea limeonyeshwa lipo mjini!!!..Au wanalifanyia Mpango wafunge Engine ya Crown maana hapa nchini kuna wataalamu wa Kazi hizi sio wa kawaida!!..
linatembea sana tu mm kila wiki naliona
 
Hata kwenye shughuli zao mbona halionekani?!!...
Sasa unataka akitembea andike kwenye social acc zake "leo nita tembea barabara ya Morogoro road,kesho tena afanye hivyo hivyo.....".

Watu mnanongwa na hata kama angekuwa anaandika bado mngesema "jamaa ana show off...",ila ndio binadamu huwezi mfurahisha kila mtu.

Unataka kumpangia mtu jinsi ya kuya tumia magari yake daaaaah.
 
Kila siku tuko barabarani huko na Mimi nakaa Karibu na ofisi za wasafi ukiacha hivyo zaidi ya kutoka kuonekana barabarani tungeona hata show off!!..Sisi ni waafrika ukiwa nacho lazima kionekane Ndugu yangu!!..wewe ulisema kila week unaliona wapi?!!..
 
Au hakuna njia ya kupita tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila siku tuko barabarani huko na Mimi nakaa Karibu na ofisi za wasafi ukiacha hivyo zaidi ya kutoka kuonekana barabarani tungeona hata show off!!..Sisi ni waafrika ukiwa nacho lazima kionekane Ndugu yangu!!..wewe ulisema kila week unaliona wapi?!!..
Kwa hiyo ww ni Malaika mlinzi wa Diamond, kila aendapo ww upo? Aiseee binadamu tuna tabu za kujitakia......
 
Nani kasema Mimi Malaika!!..Hatulioni Gari la msanii wetu mkubwa liko wapi?!!..Hata kwenye shughuli zake halionekani au lipo Nyumbani [emoji2][emoji2][emoji2]
 
NB.Malaika mlinzi ni malaika anatembea na binadamu mahala popote.

Sasa nakuuliza wewe ni malaika mlinzi wake kila aendapo na ww upo?

Sasa gari lake yeye ndiye mwenye uamuzi, sasa ww unampangia kama nani?
 
Umekuja tena!!.. Magari haya tuna nunua kwaajili ya kurahisisha shughuli zetu (usafiri) sasa kuna ambao tunajua wananunua magari kuonyesha ufahari yes ni malimbukeni ndio maana linapokufa au likiwa bavu tuna wacheka sana!!.. Anyway nasikia gari lipo south Africa!!..
 
Usifikiri kila mtu anaishi kwa mitizamo yako, kila mtu ana formula ya maisha yake.

Unapata tabu na kuumizwa kwa vitu vya kipuuzi visitors kuhusu, hivi ushaiona Yard ya magari ya Yusuph Bakheresa, halafu jiulize kwa nini mengine haya endeshi?

Kwa hiyo unatamani liwe bovu umcheke?Duu kweli chuki yako imepitiliza........

Screenshot_20220308-171735_Instagram~2.jpg
 
Usifikiri kila mtu anaishi kwa mitizamo yako, kila mtu ana formula ya maisha yake.

Unapata tabu na kuumizwa kwa vitu vya kipuuzi visitors kuhusu, hivi ushaiona Yard ya magari ya Yusuph Bakheresa, halafu jiulize kwa nini mengine haya endeshi?

Kwa hiyo unatamani liwe bovu umcheke?Duu kweli chuki yako imepitiliza........
Wewe ushabiki ni Mzigo sana tena sana!!.. unaongelea watu Kwa kuwaona kwenye picha!!.. Unadhani mtu ana nunua gari kama pambo?!!.. Unadhani Yusuph Bakhressa atembelei gari zake?!!..Au kwasababu hujawahi kumuona?!!..Mbona kuna DGE ana tembelea gari Kali humu mjini uliwahi kuona mapicha picha?!!..Kuna MOIL nae uliwahi kuona mapicha picha kuna Doctor hapo heart institute uliwahi kumuona mapicha picha!!..We buy expensive to ride because we are Expensive Ndugu!!..we ride them horse wewe wa wapi?!!..shabiki wa WCB
 
Chuki ni mzigo mkubwa endelea kuelea, eti "unasubiri liharibike umcheke.....", roho za kimasikini.

Gari yake ndiye mwenye uamuzi alitumieje sio kwa sababu ww humuoni kuliendesha ndio useme haliendeshi, vipi leo alikwambia kwamba ataliendesha kwenda Mlimani City?
 
Umasikini ni Mzigo mkubwa look at you unashabikia magari ya wenzako huku unadhani tunaotaka kujua ni malimbukeni kama wewe!!..Mzee umeenda Hadi Instagram huko asee kweli wanaume wambea kuliko Wanawake Zama hizi!!..Mama kasema vitu vita panda bei maradufu!!..au mwenzetu kusifia wanaumu wenzako ndio ujira!!!
 
Mimi si shabiki gari la mtu, bali na kushangaa wewe.

Unawapangia magari wenzio jinsi ya kuyatumia utazani uliwanunulia wewe.

Pili na roho yako ilivyo ya kimasikini ukasema "unasubiri liwe bovu ili mcheke......"

Nimekuona mtu wa ajabu.
 
Sasa wewe Una magari mangapi?!!...
 
Back
Top Bottom