Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Hongera sana Dayamondi kwa kununua rozi rozi maana nakumbuka uliliagiza toka mwaka 2016 hatimaye limefika rasmi july 2021 baada ya kusafiri kwenye maji kwa muda wa miaka mi5.


CASE CLOSED.
 
Pesa anayo lkn jamaa muongo muongo sana,achane na kufanya vitu ili kuziba haters midomo coz haters wenyewe ukiwafanyia hivi wao wanakujia vile,

Haters hawashindwagi kitu wao silaha yao kubwa ni maneno na kuongea hakuna gharama ila wewe kutaka kuwajibu kwa vitendo ili kuwanyamazisha wasioweza kunyamaza unatumia gharama kubwa....mwisho wa siku unanunua tu ma-migari unayajaza uani with no plan...by the way RR ni gari nzuri,ya gharama lkn this one imepambwa kupitiliza na uhalisia wake.
 

Kwani ile uliyoona kwa Diamond ni RR-Ghost?

Je, ni watanzania wangapi wanaoweza kutoa 300mil Tshs kununua gari tu?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ohooo
 

Tumpongeze? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah nmecheka kinoma
 
Na wewe utakua mchawi!! kama anadanganya zinakuhusu nini
.mind your own bussines
 
Ananikumbusha tulivyokuwa wadogo huko vijijini kwetu, gari zote ndogo tulikuwa tunaita tax. hata ingekuwa ni sport car ya millions bado tungeiona tungeiita tax.

Halafu amesemaje? ni bei rahisi unaweza kuagiza!! yeye ameagiza iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…