Gari la dude lakamatwa dar kwa ujambazi

Gari la dude lakamatwa dar kwa ujambazi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude' limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa saa 5.15 Julai 21 mwaka huu.

Global Publishers
 
IMG_2332.JPG
 
Back
Top Bottom