macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Uawezo wa kifedha ndugu. Unaweza kujua uwezo wa kifedha wa mtu kwa kuangalia hali matatizo yanayomkabili. Mafundi wazuri kabisa wa magari wapo na tatizo aliloelezea linatatuliwa mara moja kama una uwezo wa kifedha na huna haja ya kuja kulalama au kuuliza huku.Hapo kwenye uwezo ndiyo sijaelewa, bila uwezo wa kifedha au ufundi.
Maana kama ni uwezo wa kifedha, sioni alipoandika hivyo, na kama ni uwezo wa kiufundi, sidhani kama wameliki wengi wa magari hata huko, kwenye nchi zingine wamiliki wa magari pia ni mafundi. Sema kuna mambo muhimu dereva wa gari anapaswa kujua.