Gari la IST linapokuwa na mlio kama lori na moshi kunuka kama Petroli mbichi

Uawezo wa kifedha ndugu. Unaweza kujua uwezo wa kifedha wa mtu kwa kuangalia hali matatizo yanayomkabili. Mafundi wazuri kabisa wa magari wapo na tatizo aliloelezea linatatuliwa mara moja kama una uwezo wa kifedha na huna haja ya kuja kulalama au kuuliza huku.
 
Usichokijua, kuna watu, siyo wavivu wa kuandika andika kwenye mitandao, anaamini kila shida, ipate jibu kwanza hapa ndipo, aitatue.
 
Mkuu si utafute bodaboda ubadilishane nae? πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Yaani IST inamsumbua, angekuwa na gari kama Crown, Nissan Xtrail, Audi, BMW, VW si angezimia
 
Mods wako busy kama KICHEFUCHEFU ya MSOMALI naona wamekupa Ban!

Waweke faini baadhi ya Ban, hii ingekuwepo ningekulipia.
 
Yaani IST inamsumbua, angekuwa na gari kama Crown, Nissan Xtrail, Audi, BMW, VW si angezimia
Swali alilouliza mleta mada ni la kiufundi, kama wanavyo wenye magari mengine, lakini majibu na maswali yanayotolewa na watu wenye fedha zao mtandaoni tofauti.

Tunajua mna fedha ila msaidie jibu la kiufundi, kesho akiomba fedha kutengenezea, aulizwe mashwari ya kumshangaa, kuihudumia ist.

Kuna kisa, jamaa tuko na ndani ya Daladala, akaomba atelemke kituo fulani, huku akisema naenda kuchukua gari ya Alphad niliiacha asbhi.
Abilia wengine tukabaki tumejijamazia tu, huku tukitafakari tutasema tuanaenda kufanya nini tunaposhuka kwenye daladala hiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…