Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Habari zilizonifikia sasa hivi zinasema kuna ajali imetokea Kimara baruti njia ya kuingilia Kituo cha Mafuta BP ( BAHAMA MAMA ) ajali hiyo imehusisha gari aina ya hiace yenye namba T74 AVJ( yenye maandishi ya TOP JESUS ) iliyokuwa imebeba wanafunzi wa shule ya kimataifa ya Kwanza ( KWANZA INTERNATIONAL SCHOOLS ) wanafunzi 2 wameumia mikono na wako kwa wasamaria wema wanaojaribu kuwasiliana na watu wao wa karibu