Gari la kwanza academy lapata ajali

Gari la kwanza academy lapata ajali

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Habari zilizonifikia sasa hivi zinasema kuna ajali imetokea Kimara baruti njia ya kuingilia Kituo cha Mafuta BP ( BAHAMA MAMA ) ajali hiyo imehusisha gari aina ya hiace yenye namba T74 AVJ( yenye maandishi ya TOP JESUS ) iliyokuwa imebeba wanafunzi wa shule ya kimataifa ya Kwanza ( KWANZA INTERNATIONAL SCHOOLS ) wanafunzi 2 wameumia mikono na wako kwa wasamaria wema wanaojaribu kuwasiliana na watu wao wa karibu
 
Sasa wanawaweka mikononi kuwasiliana na watu wao kwa nini first of all wasiwapeleke sehemu zinazohusikua wakapate matibabu alafu ndio vitu vingine vifuate zaidi??Maana nadhani hicho ndio kitu cha muhimu sana katika ajali...Pia asante sana mkuu kwa taarifa hizo..
 
Huku wengi hata mtu akigongwa hapo kwanza wanamweka pembeni waanze kumuuliza unatokea wapi ndio mengine yanafuatilia watoto wale ni wa umri wa miaka chini ya 14 sijui kama wanakumbuka namba za simu za wazazi au ndugu zao wa karibu
 
Hao majeruhi wapelekwe hospital kwanza, thereafter watafutwe ndugu zao!
 
Hao majeruhi wapelekwe hospital kwanza, thereafter watafutwe ndugu zao!
...Yawezekana wamepata michubuko tu na ndio maana wanamud hata wa kuwatafuta wazazi/walezi wao ingekuwa ni kuumia kwa kweli kweli mtu amekatika mkono sijui mguu umevunjika mara 3 kusingekuwa na muda wa kuwapigia simu wazazi/walezi....ni direct hospitali. Poleni vijana!!
 
Natumaini awajawasachi hao watoto wa shule ile sehemu ni mbaya wanaita half manzese
ukiwa unajianda kutokaa kwenye ajali unaweza kuta mtu kakupiga ngumi urudi ulipotoka ili wakusachi hawana maana kabisa kabisa,,kuna watoto wa kiarabu pale pembeni ya kituo wana ukoo mkubwa ukiwaona mchana ni binadamu usiku ni nyoka wala mtu,,,huwa wanasubiri kuomba ajali zitokee na kama hilo halitoshi wana baloon nyeusi wanatumiaga kuiba kwenye parking za magari kova ameshaelezwa,,mkuu wa polisi ameshaelezwa hakuna kinachotokea,,baya zaidi majuzi waliitaka kuiba gari moja pale bucha wakashtukiwa live kwa kuitwa majina ...mmoja akaacha mkoba mmoja uliokutwa na vitambulisho vyao si chini ya 20 kwa watu wawili!!!mambo ya kusikitisha sana
polene wadogo zanguni
 
Back
Top Bottom