๐—š๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ ๐—น๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


๐Ÿ’ญ Naam sio filamu za kuigiza Tena ni maisha Halisi, kwa miaka mingi Teknolojia ya Magari ya kupaa iliweza kugunduliwa toka mwaka 2015 kupitia kwa jamaa mmoja anaitwa Tim Draper.

๐Ÿ’ญ Kampuni ya Alef toka Sam Mateo imeingia ubia na kampuni ya Hollister na half Bay Moon airport toka bonde la silicon kwa kuanza majaribio ya kurusha magari yanayopaa.



๐Ÿ’ญ Gari hilo linaitwa Model A ikiwa ni la kuchaji completely , lenye uwezo wa kwenda umbali Mpaka wa Miles 200 kwa kuendesha kawaida na kwa kupaa umbali wa mile 111. Gharama yake ni Dola $300,000 ambapo watu zaidi ya 3,300 wameshaweka oda zao.



๐Ÿ’ญ Gari hiyo inatambuliwa kama ndege hivyo hauhitaji mkataba madhubuti wa kisheria ila kwenye utumiaji Kuna mipaka inaruhusiwa kupaa juu nyakati za mchana tu na sio kwenye maeneo ya watu wengi.



๐Ÿ’ญ Kampuni hiyo ya Alef inasema model A inatumia kiwango kidogo cha nishati kuliko magari mengine ya umeme kama vile Tesla EV. Baada ya zaidi ya miaka 10 ya maendeleo, majaribio yajayo yataangalia jinsi gari linavyofaa katika mifumo ya air traffic system katika viwanja vyote vya ndege.
 
Gari zuri lakini haliwezi kupaa mbinguni.
Siku Yesu atakapokuja - soon, kila aliyetubu dhambi na kumwamini Yesu, atanyakuliwa na Yesu na kupaa mbinguni bila kutumia gari la umeme. Je, na wewe utakuwa miongoni mwa watakaonyakuliwa na Yesu na kupaa mbinguni?
 
Hakuna gari inayopaa ni ndege yenye tairi nne.
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Kwa mtazamo wako lakini kampuni inasema ni gari unaweza tumia kawaida au unaweza kuipaisha halafu hii upaaji wake ni tofauti na ndege maana upaaji wake sio umbali mkubwa kwenda angani.

Zingatia inaitwa flying car Model A toka kampuni ya Alef โœ๏ธ
 
Unatumia ndinga gani hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ