Kubwalijalo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 364
- 290
Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya karibu na Morogoro, Gari nyingi sana zimekwama kutokana na madereva kuogopa yaliyotokea miezi miwili nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mleta mada baada ya kuona gar linaungua alitoka nduki nadhani akasahau kuchkua hata picha[emoji16][emoji16][emoji16]Taarifa ya kichovu sana. Picha hakuna na nyamanyama ni chache
Tuwekee idadi ya waliotolewa kafaraGari la mafuta linawaka moto mdaa huu maeneo ya karibu na Morogoro, Gari nyingi sana zimekwama kutokana na madereva kuogopa yaliyotokea miezi miwili nyuma.