Tetesi: Gari la mafuta lateketea kwa moto muda huu hapa Mikese, Morogoro

Tetesi: Gari la mafuta lateketea kwa moto muda huu hapa Mikese, Morogoro

Nadhani umeandika huku unakimbia pole pumzika ungemalizia uzi vizuri ungekuwa ndafu wa harusi
 
Nadhani madereva wa haya malori ya mafuta wanatakiwa wachunguzwe,isije ikawa kuna mchezo wanaoucheza hapa,

Wakubwa watakua wamenielewa.
 
Hao madereva kuna mchezo huwa wanaufanya. Anafika sehemu anauza mafuta yote au karibia na yote then anaendelea na safari. Akifika kwenye mtelemko huwasha moto kwenye kibin, moto ukianza kukolea yeye huruka na kuliacha gari liseleleke na kuwaka. Madereva wengi wasio waaminifu au wale ambao hawajalipwa mshahara muda mrefu ndio hufanya hivi. Hayo magari huwa yanabima kubwa ya ku cover pamoja na mzigo, ivyo wamiliki hawana shida maana ulipwa na kampuni za bima
 
Duh!!!
Morogoro hizo barabara zao zina tatizo gani? Kuna kitu hakipo sawa kuanzia labda kutokuwa salama kwenye mengi
Morogoro Haina shida yoyote. Shida ni nyie mliopeleka makao makuu jangwani sasa mnahangaika na makafara ya barabarani. Hamkujiuliza kwanini Mwarabu, Mjerumani na Muingereza wote waliamua kuweka kambi Dar!
 
Hao madereva kuna mchezo huwa wanaufanya. Anafika sehemu anauza mafuta yote au karibia na yote then anaendelea na safari. Akifika kwenye mtelemko huwasha moto kwenye kibin, moto ukianza kukolea yeye huruka na kuliacha gari liseleleke na kuwaka. Madereva wengi wasio waaminifu au wale ambao hawajalipwa mshahara muda mrefu ndio hufanya hivi. Hayo magari huwa yanabima kubwa ya ku cover pamoja na mzigo, ivyo wamiliki hawana shida maana ulipwa na kampuni za bima
INAWEZA KUA KWELI LAKINI MBONA KWENYE HAYA MATUKIO NA MADEREVA PIA WANAKUFA?
 
Duuuh tenaaa..!!![emoji50][emoji50]

Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
 
Hizi ajali zichunguzwe vizuri ili ijulikane ni kwa nini zinatokea Morogoro tu ambako ni karibu na Dar.
Kuna uwezekano mkubwa wa mafuta yanayokuwepo kwenye magari haya kiasi kikubwa kinakuwa kimenyonywa njiani na ili uharibu ushahidi ni lazima uangushe gari chini.
Kama wawekezaji wa kutoka nje wanavyosema kuwa Watanzania walio wengi si waaminivu na wanafanya wizi na udokozi wa Kijinga kwa tamaa ya kupata pesa za kufanya matumizi ya ovyo.
1. Uzinzi
2. Mziki
3. Ulevi
4. Kujenga nyumba za kifahari ambazo hazina manufaa yoyote kiuchumi.
5. Kununua magari ya kifahari ambayo hayana tija kiuchumi
6. Kufanya sherehe kubwa ambazo hazina tija kiuchumi
7. Kusafiri ndani na nje na kutumia pesa nyingi bila sababu za kiuchumi.
8. Kujaribu kuingia kwenye Siasa ili kutafuta umaanufu bila kuwa na uzoefu katika Siasa.
 
Gari la mafuta linawaka moto mdaa huu maeneo ya karibu na Morogoro, Gari nyingi sana zimekwama kutokana na madereva kuogopa yaliyotokea miezi miwili nyuma.
Ni kweli kuna lori la mafuta limewaka maeneo ya Mikese Jana usiku lkn ukweli zaidi hilo halikuteketea watu waliwai kulizima matairi ndio yaliungua.
 
Back
Top Bottom