Gari la Mbunge lililohusika kusafirisha wahamiaji haramu Lataifishwa na Mahakama. Mbunge anayelimiliki yeye vipi?

Gari la Mbunge lililohusika kusafirisha wahamiaji haramu Lataifishwa na Mahakama. Mbunge anayelimiliki yeye vipi?

Hiki ni nini hapa 👇👇
Screenshot_20221119-094007.png
Screenshot_20221119-093841.png

Nikuongezee tena?
 
Tulijua tu huyo mbunge hatafungwa.Maana huyo waziri anapendwa sana na mama wa kaya.Nimeamini ule usemi wa Rostam azizi kuwa "hizi mahakama za Tanzania haziwezi kukubalika kwenye uwekezaji wa mikataba ya kimataifa "Kwa maamuzi ya kihuni kama haya ambayo ni kichaa pekee anayeweza kukubali hizi mahakama kama ni huru
Ukafungwe kisa nyumba yako amekamatwa jambazi?au ukafungwe kisa mtoto wako kakamatwa na bangi?ukafungwe kisa mbuzi wako amekula mahindi ya watu?ufungwe kisa mbwa wako kamjeruhi mtu?elimu elimu elimu
 
Ukafungwe kisa nyumba yako amekamatwa jambazi?au ukafungwe kisa mtoto wako kakamatwa na bangi?ukafungwe kisa mbuzi wako amekula mahindi ya watu?ufungwe kisa mbwa wako kamjeruhi mtu?elimu elimu elimu
Una uhakika huyo mbunge siyo biashara yake.kigezo kilichotumika kutokuhusishwa ni kipenzi cha yule ambaye huwa hakosolewi.Kifupi tz hatuna mahakama ispokuwa tuna kusanyiko la wahuni la kuwafunga walalahoi
 
Back
Top Bottom