Gari la Mbunge lililohusika kusafirisha wahamiaji haramu Lataifishwa na Mahakama. Mbunge anayelimiliki yeye vipi?

Ukafungwe kisa nyumba yako amekamatwa jambazi?au ukafungwe kisa mtoto wako kakamatwa na bangi?ukafungwe kisa mbuzi wako amekula mahindi ya watu?ufungwe kisa mbwa wako kamjeruhi mtu?elimu elimu elimu
 
Ukafungwe kisa nyumba yako amekamatwa jambazi?au ukafungwe kisa mtoto wako kakamatwa na bangi?ukafungwe kisa mbuzi wako amekula mahindi ya watu?ufungwe kisa mbwa wako kamjeruhi mtu?elimu elimu elimu
Una uhakika huyo mbunge siyo biashara yake.kigezo kilichotumika kutokuhusishwa ni kipenzi cha yule ambaye huwa hakosolewi.Kifupi tz hatuna mahakama ispokuwa tuna kusanyiko la wahuni la kuwafunga walalahoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…