Gari la Mbunge lililohusika kusafirisha wahamiaji haramu Lataifishwa na Mahakama. Mbunge anayelimiliki yeye vipi?

Sheria inataja mali hususani magari au nyumba ndizo zinataifishwa.
Kwenye kesi za madawa ya kulevya, usafirishaji wahamiaji haramu magari au nyumba ambazo zimehusika zinataifishwa.
Kuna mzee wangu alipangisha nyumba yake maeneo ya mbezi beach.
Jamaa waliopangisha hapo wakawa wanafanya uzalishaji wa madawa ya kulevya, mwenye nyumba alikuwa hafahamu hiyo ishu.
DEA wakapata hiyo ishu wakaenda kuvamia na kuwakamata wahusika ambao ni wapangaji.
Mwenye nyumba alifanywa kutaarifiwa tu wala hakuingizwa kwenye kesi.
Kesi imeisha jamaa wakatiwa hatiani nyumba ikataifishwa.
Kasheshe lilianzia hapo jamaa alitumia pesa nyingi sana kuinusuru nyumba yake isitaifishwe
 
Mahakama ya Tanzania ilishawahi kuitaifisha gari la Serikali kuwa mali ya Serikali kwa kosa la kukamatwa ikisafirisha wahamiaji haramu eneo la Minjingu, Manyara. Hii nchi ngumu sana.
 

Na Kama Mahakama iliahindwa kumlink mbunge na crime, rather dereva, unataka afungwe Sababu gani!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…