Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

Ni jambo JEMA lenye kuleta FARAJA kwa wote.
 
Bima itamlipa kama aliweka cover ya ajali ya moto.....
wengi wanaishia kuweka ajali za barabarani gari inapotembea ikagonga, ikagogwa ama ikaanguka na kuungua.....
lkn hii inayochomwa makusudi bima hawalipagi inategemea na terms za mkataba lakini
Aha OK
Nmekupata hapo

Ova
 

watasema mbowe sio gaidi
 
mtoa mada kwani mumeo kasafiri tuje kujazia upako ? mana unaonyesha hizi ni dalili za kukalibia kuvuja
 


Yaani kwenye taarifa yako mwenyewe unasema "waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana" halafu wewe hapo hapo unasema "huki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote" sasa unaamini kipi. Usiingize mawazo yako kama vile wewe ndiyo vyombo vya usalama. Kama kweli ni mbunge wa watu na kapatikana kihalali na anapedwa na watu watu wake asiwe na wasiwasi ! Bima italipa
 
Sasa Chadema hapo imeingia kwenye hapo ilihali uchunguzi bado?

Je kama alitembea na mke wa mtu na mwenye mke kaamua kumlipa kwa staili hiyo ?

Je kama alizudhulumu hilo gari au alidhulumu mali ya mtu na mwenye mali kaamua kumlipa kwa staili hiyo?

Je kama ni shirika ya umeme kwenye gari ukapelekwa kuwaka kwa hilo gari?

Je kama yeye mwenyewe kalichoma ili bima imlipe gari jipya ?

Je kama watoto wadogo walikuwa wanachezea moto wa kujipikilisha karibu na hili gari utamjuaje?

Je kama walifanya dili na wenzake kisha akawaomba nao wakanipa kwa staili hiyo utamjuaje?

SASA WEWE AKILI YAKO IMEJIEGEMEZA KWENYE CHUKI ZA KISIASA ILI HALI UCHAGUZI ULISHAPITA AKILI ZAKO NI ZA KUVUKIA BARA BARA TU.

HUWEZI KUFIKILI ZAIDI?

HUWEZI UKASUBILIA UCHUNGUZI WA POLIS UKAMILIKE ILI KUJUA KIINI?

SASA UNAPOSEMA CHADEMA HALAFU POLIS WAKAJA NA UCHUNGUZI WAO TOFAUTI NA HUO WA KWAKO SURA LAKO UTALIFICHA WAPI?

ACHA UJINGA NA UCHOCHEZI
 
Haya maswali ulijiuliza pale Lisu alipopigwa risasi?
 
Nilijiuliza kwanini Camera ziliondolewa?

Wahalifu waliwezaje kupenya kwenye eneo linalolindwa kwa CCTV camera bila kukamatwa hadi leo?

Au wewe mwenzangu ulijiuliza maswali gani?


Ni ndogo hayo niliyojiuliza kwenye tukio lile,Je wewe?
Haya maswali ulijiuliza pale Lisu alipopigwa risasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…