Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

WhatsApp-Image-2021-09-29-at-9.21.29-AM-660x400.jpeg

Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.

Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.

Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.

Chanzo: Millard Ayo
Mleta mada acha uchochezi, mwenye kufanya siasa chafu ni nani Kati ya pande hizo mbili? Tena uache kuchochea chiki na hasira kwa wanaoonewa.
 
WhatsApp-Image-2021-09-29-at-9.21.29-AM-660x400.jpeg

Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.

Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.

Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.

Chanzo: Millard Ayo
Inawezakana amelichoma mwenyewe kwa malengo maalum.
 
Sasa bima ndo watakuwa wamekuagiza kupeleka gari karibu na jiko la chipsi? itabidi ujipange sana kuwaelewesha vinginevyo hesabu maumivu.
Kulipwa ni mchakato ambao unauandaa kabla hata hujachoma gari 😅
 
Unaongelea bima wa mwaka 47 mkuu. Siyo Hawa wa miaka hii wenye njaa na tamaa. Ukitenga milioni 2 za kuwapanga hao watendaji wa bima, malipo hata ya milioni 100 ni fasta
Nimemwambia pia huyo kolo, mchakato wa kulipwa unapangwa kabla hata hujapiga tukio! Unatembeza kibunda tu kisha unafanya yako 😅😅😅 unasubiria miezi kadhaa mzigo unaingizwa bank au chombo mpya inanunuliwa!
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Sema huyo boya ana hela sana ila anawaigizia tu! Tatizo lake ni uchawi manina naskia anaogopeka sana jimboni hapo 😀😅😂
 
Kulipwa ni mchakato ambao unauandaa kabla hata hujachoma gari 😅
Miaka ya nyuma kuna watu hiyo ndy ilikuwa michongo yao,njia goba ilitumika sana
Ilikuwa haipiti siku 2 unakuta gari limegongwa,limeungua ehhh 😂😂😂

Ova
 
Na serikali ikaufyata!. Kwamba gaidi akazidi kutamba, wala pasiwe na mtu wa kukohoa!. Kwamba serikali haijui aliko huyo driver ama haina ubavu wa kumchukua!. Hapa unaelewa unachomaanisha kwamba nchi haina serikali?

Lisu alipigwa na gaidi baada ya kusikia fununu anataka kugombea uenyekiti ndiyo maana dereva akafichwa mpaka leo
 
Back
Top Bottom