Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
RIP gaidi hamza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe mh George aina ya brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana – Millard Ayo TV
Bei ya brevis ni 3m. Gari ilikuwa na third party insurance ya 118k. Kwa hiyo halipwiKalichoma mwenyewe ili alipwe bima akanunue gari mpya ,hiyo ilikuwa inamsumbua.
Mbona hapa mtaani kwake sote tunajua
Unaongelea bima wa mwaka 47 mkuu. Siyo Hawa wa miaka hii wenye njaa na tamaa. Ukitenga milioni 2 za kuwapanga hao watendaji wa bima, malipo hata ya milioni 100 ni fastaSasa bima ndo watakuwa wamekuagiza kupeleka gari karibu na jiko la chipsi? itabidi ujipange sana kuwaelewesha vinginevyo hesabu maumivu.
Ubaya upo hata ukiagiza yenye "zero KM" achana na used [emoji3]. Wabunge yanawafaa magari ya juu.Ina ubaya gani ikiwa ameagiza mpya
Mdude huyokwani hiyo soon watu wanaletwa dar es salaam kupigwa bisibisi siyo?maana ushaweka chadema hapo, hatari sana wanaweza wakapewa hata kesi ya ugaidi
Huyu mbunge ndie alisema Tanzania ni muungano wa wa Zimbabwe na Zanzibar![]()
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .
Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.
Chanzo: Millard Ayo
Brevis halafu akatie bima kubwa thubutuu...Bima itamlipa
Ova
From there watapelekwa Mbweni na kupewa majina mapya...Wanaweza wakafikishiwa Tazara!
Wananchi wamekasirika kea sababu huyo sio mbunge wao walio mchagua, alipita vila ya kupingwa nini !![]()
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .
Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.
Chanzo: Millard Ayo
Mku mbona wasiojulokana kwa sasa wanajulikana, wapo Tazara, mbweni, na sehemu kadhaa. Walimteka Mbowe na wenzake usiku wa manane Mwanza. Chadema unawssingizia uone aibu mkuu.![]()
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .
Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.
Chanzo: Millard Ayo
Chadema wanahusikaje wakati ndani ya CCM Kuna majina mengi tu yaliyopitishwa na wajumbe lkn yakakatwa kule Dodoma. Unategemea aliyekatwa alifurahi? Kabla hujaanza kumlaumu jirani angalia jumbani yako kuanzia chumbani huenda mbaya wako Ni mkeo unayelala nae bila boksaChadema ni janga