Gari la mfanyabiashara muarabu lazui gari la kubeba taka la kiwanda cha Aone cha kampuni ya Mohammed Enterprises kupitia

Gari la mfanyabiashara muarabu lazui gari la kubeba taka la kiwanda cha Aone cha kampuni ya Mohammed Enterprises kupitia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hii nchi sasa ishakuwa ngumu kila mtu anatumia nguvu yake aliyokuwa nao.

Sasa hii gari unayoiona kwenye video ni gari inadaiwa ni ya mfanyabiashara Muarabu amezua gari ya taka ya kiwanda cha AI kinachomilikiwa na kampuni ya Mohammed Enterprises lisipite na gari hilo limezuiwa mbele na nyuma.

Yani nguvu ya pesa imefanya mambo ya kijinga sana. Na haya mambo ni ushindani wao kwenye biashara na inavyoonyesha ni kama wanabifu lao kubwa tu kwahiyo kila mmoja kaamua kufanya jeuri ya kuonyesha yeye ni mbabe mbele ya mwezie.
 
Yaani kwa akili zao na hiyo gari yenye bendera ya CCM wanajua MeTL ndio alieleta MO29. MO29 ni ya watanzania, watakiona hiyo siku.
 
Huyo dereva wa roli nae mstaarabu tu,
Angekuta ni mvuta bangi mmoja angeweza kugonga hiyo gari mbele na akaipeleka nje ya njia kabisa MO atalipa.
Shenzy
 
Katoeni taarifa polisi.
Mbona unaweza kusaidia tu mkuu 'Imho' kwenye swala dogo kama hili.
Naamini ukiwasilisha hii taarifa mahali maalum mambo yatanyooka tu haraka.

Kwa nini tupigishhane kilele kwenye mambo madogo kama haya. Mama hahitaji kulaumiwa kwenye maswala kama haya wakati watu mpo kushughulikia vitu vya namna hii haraka.
 
Sema nchi kiongozi akiwa wa upande ule waarabu huwa wanakuwa miungu watu sijui wanawaona kama mitume
 
Uzuri Mo na huyo Mwarabu wote chama tuwala
 
Dereva wa lori ni mlokole bila shaka!

Hawa wa tipa za mchanga mbona njia ipo wazi hapo!!
 
Back
Top Bottom