GE2025 Gari la Mgombea Udiwani Kata ya Igwachanya lachomwa moto na watu wasiojulikana

GE2025 Gari la Mgombea Udiwani Kata ya Igwachanya lachomwa moto na watu wasiojulikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Gari la mtia nia udiwani nafasi ya Udiwani Kata ya Igwachanya Wilaya ya Wanging'ombe Anthony Mawata - CCM imechomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

​
photo_2025-08-04_10-14-23.jpg

​
 
Habari nzuri kabisa hizi wauane kabisa hawa hayawani na majizi ya kura yaliyokubuhu.
 
CCM yamejazana mashetani, yanashindana kudhihirisha ni nani shetani zaidi.
 
Back
Top Bottom